Hapo ulikuwa unaongozwa na kichwa cha chini, kichwa cha juu kilizidiwa kikaamua kuserender kuachia kichwa cha chini kifanye kinavyotaka. Ogopa sana hali hiyo ikikuta unaweza kupatwa na jambo baya sana.Ilikuwa 90's nilizama chumbani kwa binti nipige mzigo,huyo binti tulikuwa tunasoma naye secondary. Basi bana zile wanazosema za mwizi arobaini ndo zilikuwa zimetimia. Kabla sijaanza kupiga mzigo nikawanipewa chakula nakula!mara paaa baba wa binti akapiga hodi anataka kuja kuchukua kitu Kyle ndani kwa binti,tulichenganyikiwa kwa muda...nimaingia uvunguni nikatulia tuli!dingi kaingia kafanya yake wakati anatoka akashitukia kuna chakula mezani ambacho kinaonekana kilikuwa kinaliwa!mshua akamuuliza nani yupo humu? binti kimya...akatishiwa kupigwa kibao...akafunguka kila kitu hadi siku hiyo ilikuwa ya ngapi kuingia chumbani...niliishiwa nguvu...mzee akaniamru nitoke uvungi, kwanza nikajifanya sisikii akarudia mara ya pili tatu...ikabidi nisalende..."natoka...nilikuja kuazima daftari"kilifuatia kipigo heavy cha mkanda wa jeshi...nilipopata upenyo nilitimua nikiacha shati na viatu...tukio hili nikilikumbuka huwa naona akili ilifanya kazi baada ya kutenda!we uliwahi kutenda lipi ambalo unadhani hukuwa umeishirikisha akili ipasavyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo besthahaha unatafuta daftari uvunguni,lol
Upo best
Ki aje tena mbona lD yangu ile ile tu, sema mambo ya mitkasi tunipo nimejaa tele best,sikuoni au ndio ID nyingine..lol
Ha ha nimeipenda signature yako aissHapo ulikuwa unaongozwa na kichwa cha chini, kichwa cha juu kilizidiwa kikaamua kuserender kuachia kichwa cha chini kifanye kinavyotaka. Ogopa sana hali hiyo ikikuta unaweza kupatwa na jambo baya sana.
Democracy means that Domo kiasi
Yaani kichwa cha juu kikizidi ni hatari sana...unakuja kutumia akili tayari mlupo ushajiselfisha na kombati zakoHapo ulikuwa unaongozwa na kichwa cha chini, kichwa cha juu kilizidiwa kikaamua kuserender kuachia kichwa cha chini kifanye kinavyotaka. Ogopa sana hali hiyo ikikuta unaweza kupatwa na jambo baya sana.
Democracy means that Domo kiasi
Hahaaa mkuu hii kali sana..
Mie nakumbuka miaka hiyo tumezamia gheto walipopanga madada wawili wanafunzi wa secondary usiku wa saa 5 tukiwa na rafiki yangu halafu mademu nao wawili mtu na rafiki yake Mara ghafla wajanja wakatufungia makufuli kwa nje.!
Halafu wakatoa raarifa kwa wazazi wa binti , kwa waalimu na pia wakaripoti polisi ikaamliwa wasitufungulie mpaka asubuhi polisi wafike na waalimu pia wazazi wawepo!
Huo usiku sintousahau katika maisha yangu maana tulitafuta kila mbinu ya kutoka humo ndani usiku huo ilishindikana madirisha yana nondo wenye kulia walilia nilisali sala ambazo sikuwahi kusali ili labda utokee muujiza kama wa Paulo na Sila walipokuwa gerezani lakini ilishindikana!
...Kwa leo acha tu niishie hapa ntaileta hii habari siku moja.
Ila wewe jamaa uliyetufungia siku hiyo Mungu anakuona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kutana na hawa Dada/Mama zetu wa karne hii ndipo utajua Dunia ni ya ajabu kwa jnc ilivyobadilika sana.Watoto wa kike wa zamani walikuwa hawajui hata kujitetea inapotokea swala na fit 4 tati