Kuna vitu vinanishangaza

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,678
Reaction score
5,166
Licha ya kuwepo mzunguko mkubwa wa upatikanaji wa elimu lakini maarifa yamekuwa ni machache.

Kuna Wazee wengi lakini busara imekuwa ni changamoto kwa kila rikaa.

Je,Tatizo ni dhiki tunaoendekeza au Tabia ya Kitandawazi?

Ukiendekeza dhiki huo ni utumwa wa maisha.

Akili yako isiendeshwe as if programming software(Globalization) your Man don't fake your life.
 
Maarifa yapo mengi sana lakini hayatolewi bure. Ukiona maarifa yanatolewa/yanapatikana for cheap ujue hayana thamani, ndio maana wazungu wanatupa biblia bure lakini kamwe hawawezi kutupa bure maarifa ya kutengeneza ndege au mabomu ya nyuklia
 
kwani kutengeneza mabomu ni maarifa mazuri?
 
Wananchi wasio na furaha duniani halafu unategemea vichwa vyao vikupe busara na maarifa?Jichunguze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…