Michuano ya mapinduzi yanatarajiwa kuanza January 1 mpaka 13.
Kwanini Simba wanatakiwa kujitoa kwenye michuano hii
--Kwanza michuano hii inachezwa katika mfumo usio sahihi, timu inalazimika kucheza mchezo kila baada ya siku 1 kutukana na ufinyu wa muda hi itasababisha wachezaji kuchoka Sana
--michuano ya makundi ligi ya mabingwa barani Africa inatarajiwa kuanza January 11 kwa maana hiyo Simba wataenda kuanza michuano hiyo wameshacheza mechi mfululizo za mapinduzi Cup uku wachezaji wakikabiliwa na uchovu
-- hapo hapo Simba inakabiliwa na vipora vya ligi kuu Tanzania bara mechi karibia 5 watalazimika kucheza back to back kwa muda mfupi na kuathiri matokeo.
-- ikumbukwe ligi kuu Tanzania msimu huu italazimika kumalizia mapema kupisha michuano ya AFCON under 17 yatakayofanyika mchini hivyo Basi kipindi Cha mwezi wa 1 Hadi 4 Simba italazimika kucheza ligi kuu na klabu bingwa mechi zikiwa zimefululizana
Hivyo Basi Kuna kila dalili Simba kupoteza taji la ligi kuu kwa Azam au Yanga ambao ratiba itakuwa upande wao wakicheza kwa kurelex
Bila kusahau Simba tayari imeshatolewa kombe la shilikisho na mashujaa kwaiyo njia rahisi ya kurudi michuano ya kimataifa mwakani Ni kushinda ligi kuu Sasa ikipoteza taji Simba itajikuta inarudi mchangani pamoja na uwekezaji mkubwa anaofanya Mo dewji
Kurudi Tena kimataifa mpaka msimu wa 2020/21
Uongozi wa Simba unatakiwa kuwa makini na vipaumbele vyake
Mkuu bingwa Azam labda Yanga kikosi Chao Cha kuungaunga Sana tegemeza Sana jwa makambo akiumia kule mbele ndo basiKweli kabisa mkuu.. Naona mechi za kimataifa kwa mikia mwisho mwaka huu, na kama mbavyojua Yanga akianza kuchukuwa kombe lake basis ni miaka minne au tano ndo anaachia kidogo
Waache wacheze wale waliocheza kombe la F.A, ili tufungwe mechi za mwanzo na tuondolewe.Kweli kabisa mkuu.. Naona mechi za kimataifa kwa mikia mwisho mwaka huu, na kama mbavyojua Yanga akianza kuchukuwa kombe lake basis ni miaka minne au tano ndo anaachia kidogo
Hii ni baada ya hisani ya Mashujaa Kigoma FC watu hawana hamu na game tena!!!Ile michuano ni kichaka cha zfa kujitarisha tu haina faida yeyote
Umetoa wazo zuri sana... hii michuano husababisha injury zisizo maana kwa wachezaji
Si msemaji wao alitapa kwamba simba wana uwezo wa kucheza mechi mbili kwa siku moja? Imekuwaje tenaMichuano ya mapinduzi yanatarajiwa kuanza January 1 mpaka 13.
Kwanini Simba wanatakiwa kujitoa kwenye michuano hii
--Kwanza michuano hii inachezwa katika mfumo usio sahihi, timu inalazimika kucheza mchezo kila baada ya siku 1 kutukana na ufinyu wa muda hi itasababisha wachezaji kuchoka Sana
--michuano ya makundi ligi ya mabingwa barani Africa inatarajiwa kuanza January 11 kwa maana hiyo Simba wataenda kuanza michuano hiyo wameshacheza mechi mfululizo za mapinduzi Cup uku wachezaji wakikabiliwa na uchovu
-- hapo hapo Simba inakabiliwa na vipora vya ligi kuu Tanzania bara mechi karibia 5 watalazimika kucheza back to back kwa muda mfupi na kuathiri matokeo.
-- ikumbukwe ligi kuu Tanzania msimu huu italazimika kumalizia mapema kupisha michuano ya AFCON under 17 yatakayofanyika mchini hivyo Basi kipindi Cha mwezi wa 1 Hadi 4 Simba italazimika kucheza ligi kuu na klabu bingwa mechi zikiwa zimefululizana
Hivyo Basi Kuna kila dalili Simba kupoteza taji la ligi kuu kwa Azam au Yanga ambao ratiba itakuwa upande wao wakicheza kwa kurelex
Bila kusahau Simba tayari imeshatolewa kombe la shilikisho na mashujaa kwaiyo njia rahisi ya kurudi michuano ya kimataifa mwakani Ni kushinda ligi kuu Sasa ikipoteza taji Simba itajikuta inarudi mchangani pamoja na uwekezaji mkubwa anaofanya Mo dewji
Kurudi Tena kimataifa mpaka msimu wa 2020/21
Uongozi wa Simba unatakiwa kuwa makini na vipaumbele vyake
Usifananishe mbwembwe za majigambo na Hali halisi kwenye football timi yoyote lazima in key players amboa hucheza mechi nyingi zaidiSi msemaji wao alitapa kwamba simba wana uwezo wa kucheza mechi mbili kwa siku moja? Imekuwaje tena
Kwa hiyo leo unakubali zile zilikuwa mbwembwe ?Usifananishe mbwembwe za majigambo na Hali halisi kwenye football timi yoyote lazima in key players amboa hucheza mechi nyingi zaidi
Ni vigumu kuiamini form ya Azam FC wawapo away!Mkuu bingwa Azam labda Yanga kikosi Chao Cha kuungaunga Sana tegemeza Sana jwa makambo akiumia kule mbele ndo basi
mkuj kile kikosi cha jana ni kile ambacho kingecheza mechi ya tatu...cha mechi ya pili jana hakikucheza..!!Si msemaji wao alitapa kwamba simba wana uwezo wa kucheza mechi mbili kwa siku moja? Imekuwaje tena
Michuano ya mapinduzi yanatarajiwa kuanza January 1 mpaka 13.
Kwanini Simba wanatakiwa kujitoa kwenye michuano hii
--Kwanza michuano hii inachezwa katika mfumo usio sahihi, timu inalazimika kucheza mchezo kila baada ya siku 1 kutukana na ufinyu wa muda hi itasababisha wachezaji kuchoka Sana
--michuano ya makundi ligi ya mabingwa barani Africa inatarajiwa kuanza January 11 kwa maana hiyo Simba wataenda kuanza michuano hiyo wameshacheza mechi mfululizo za mapinduzi Cup uku wachezaji wakikabiliwa na uchovu
-- hapo hapo Simba inakabiliwa na vipora vya ligi kuu Tanzania bara mechi karibia 5 watalazimika kucheza back to back kwa muda mfupi na kuathiri matokeo.
-- ikumbukwe ligi kuu Tanzania msimu huu italazimika kumalizia mapema kupisha michuano ya AFCON under 17 yatakayofanyika mchini hivyo Basi kipindi Cha mwezi wa 1 Hadi 4 Simba italazimika kucheza ligi kuu na klabu bingwa mechi zikiwa zimefululizana
Hivyo Basi Kuna kila dalili Simba kupoteza taji la ligi kuu kwa Azam au Yanga ambao ratiba itakuwa upande wao wakicheza kwa kurelex
Bila kusahau Simba tayari imeshatolewa kombe la shilikisho na mashujaa kwaiyo njia rahisi ya kurudi michuano ya kimataifa mwakani Ni kushinda ligi kuu Sasa ikipoteza taji Simba itajikuta inarudi mchangani pamoja na uwekezaji mkubwa anaofanya Mo dewji
Kurudi Tena kimataifa mpaka msimu wa 2020/21
Uongozi wa Simba unatakiwa kuwa makini na vipaumbele vyake
Huo uwezo bado upo hata leo ikiwa Simba itakuwa na kocha msaidizi wa kiwango cha Matola.Si msemaji wao alitapa kwamba simba wana uwezo wa kucheza mechi mbili kwa siku moja? Imekuwaje tena