hahhaahahh hapo napenda supu zake wanawekaga kwenye hotpot unakula mpaka unakaa msamaki huo
alafu Asprin nina mashaka na nyendo zako huo mtaa wa ufundi hapo
unajua mpaka naogopa kukuona maana siamini ninachokiwaza muda huu looh jf party ukiattend SIENDI
hahahah kuna kapolisi nakavizia hapa. Ukinipiga chini, nakabaka mchana kweupe.
sura yako haifanani na roho yako mbayaaaa. unanibania mtoto wa mwanamke mwenzio Jumapili yote hii?
bibi kaja umeburn almost calories zote na yeye
tangu juzi uko kimya usije ukanifia mimi beyond tne retina
Mtoto wa kike acha roho mbaya. umepewa bure, toa bure.
kumbe ni nini sasa????aaaaah unandanganya eeh? nimekustukia....