Kuna ukweli hapa?

Mike m

Senior Member
Joined
May 8, 2014
Posts
123
Reaction score
120
Hodii........wana mmu,jamani wazimaa?? Hamjambo na raha zenu za jumapili? kuku mgeni hakosi kamba mguuni ndo nimekuja humu hivi juz kati,natumaini mtanikaribisha kwa mazito matatu,twendee wah,wah,wah! ewaa...ahsante!simtambui hata mmoja humu lakin natumaini,tutafahamiana taratibu,kwani watu hufahamiana pale wanapokutana.
Wanasema penye wengi kuna mengi,navutiwa kuingia humu na swali moja tu la ukaribisho,
JE,nimewahi kusoma haya magazeti pendwa,na huwa nakutana na tangazo linalohusu kuongeza ukubwa wa umbile la mwanaume,kweli dawa hizo zatibu? na madhara kwa mtumiaji je? ninaamini kuuliza si ujinga,na ninaamini wote tutajifunza kipitia hapa....asanteni.
 
Ukifika the right age, itakua yenyewe.

For now concentrate on your studies and please stop watching porn.

Good evening.
 
Hii post ipelekwe kule JF doctor na mada nyingi zimejadiliwa kule kuhusu kuongeza ukubwa wa uume.
Karibu sana
 
Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi.

Unaweza kuwa na chombo kikubwa ukashindwa kukiendesha ukapitwa na mwenye mtumbwi mdogo anaopiga kasia za uhakika.
 
Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi.

Unaweza kuwa na chombo kikubwa ukashindwa kukiendesha ukapitwa na mwenye mtumbwi mdogo anaopiga kasia za uhakika.

asante kwa hilo ila nimekusubiri sana faragha
 
Endeleeni ila mi ninachojua ni kuuvuta au kungatisha nyuki au kula pweza na baadhi ya mimea fulani ya pori pamoja na mizizi fulani ya kimasai ambayo ni mizuri inaitwa mikongoraaa
 
sasa kumbe unachotaka kujua ni nini kama kujaribu hutaki????

UNAJUA MAANA YA DUSHE??
KIBAMIA??
PAPUCHI
KUGEGEDANA
kwa kuanza nayo hayo karibu jf MMU
hilo neno papuchi ndo sina ujuzi nalo,ndokeze bas.....
 
Hapa Pentagon kuna kabinti kamefanana na wewe. babako alishapita hiki kitaa?

hahhaahahh hapo napenda supu zake wanawekaga kwenye hotpot unakula mpaka unakaa msamaki huo

alafu Asprin nina mashaka na nyendo zako huo mtaa wa ufundi hapo
 
Hapa Pentagon kuna kabinti kamefanana na wewe. babako alishapita hiki kitaa?

unajua mpaka naogopa kukuona maana siamini ninachokiwaza muda huu looh jf party ukiattend SIENDI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…