Kuna ukweli gani juu ya hii ' Tetesi ' kuwa Brazameni Dj Majizo ( Majey ) amebwagana na Mpenziwe Lulu?

"Naogopa uzuri wako...
Umeumbwa kuvutia, haujaumbwa kuolewa.." - Mo Kweli.

Sio kila mwanamke anaoleka.

-Kaveli-
 
haufananii kabisa na hayo mambo ya kipuuzi puuzi
 
"Daddy is coming"

Hivi ile projekt ya ahadi ya ndoa ya Makonda bado tu mpaka sasa!!
 
Kama ni kweli hawafai,pete tu mambo yalikua moto,mahari hadi ukumbini hio harusi mambo yangekua fireee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…