Kuna ukweli gani juu ya hii ' Tetesi ' kuwa Brazameni Dj Majizo ( Majey ) amebwagana na Mpenziwe Lulu?

"Naogopa uzuri wako...
Umeumbwa kuvutia, haujaumbwa kuolewa.." - Mo Kweli.

Sio kila mwanamke anaoleka.

-Kaveli-
 
Bado sijaithubitisha rasmi ila nimepata Kudokezwa na Mtu aliyeko Jikoni na pia karibu na Mmoja wao hapo kuwa huu Uhusiano umeshavunjika rasmi japo taratibu zote za Harusi ambayo ilipangwa kuwa ya mfano Tanzania nzima ( ya Kiufahari zaidi ) zilikuwa zikifanyika na kuendelea.

Kama hii Tetesi itakuwa ni kweli basi naomba leo hii niwe wa Kwanza kabisa Kumshauri Elizabeth Michael ( Lulu ) aachane rasmi na Masuala ya Kimahusiano ( Mapenzi ) na ajikite zaidi katika Kumtumikia tu Mwenyezi Mungu kwani yawezekana hana Bahati ya Wanaume au ana ' Gundu ' moja kubwa mno au kuna Watu aliwakosea hivyo aende akawaombe Radhi.

Naomba taarifa hii iwe Kwanza kama Tetesi ila kama kuna Wadau wengine ( kwani najua JamiiForums huwezi Kukosa Jibu ) wana Ukweli kamili juu ya hili basi karibuni hapa muweke kila Kitu hadharani na hatimaye hata Mimi sasa niamini na nimuamini pia na huyo ' Mtonyaji ' wangu na ikiwezekana niendelee Kumuamini kwa mengineyo huko mbeleni.
haufananii kabisa na hayo mambo ya kipuuzi puuzi
 
Kama ni kweli hawafai,pete tu mambo yalikua moto,mahari hadi ukumbini hio harusi mambo yangekua fireee
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom