GUI
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 1,847
- 1,299
Wakuu habari za mchana
Napenda kuuliza: Je kuna ugonjwa wa wasi wasi au hofu?
Maana mda mwingi nakaa na kuwa na wasi wasi au hofu kama kuna kitu kina kuja kunitokea hivi!!!
Na kama ni uginjwa unasababishwa na nini na unatibikaje?
Hii hali ikitokea huwa inasumbua kisaikolojia sana na nina kosa raha sana!
NB: sina kitu ninacho kiwaza sana