BAK JF-Expert Member Feb 11, 2007 124,789 288,020 Jul 3, 2020 #21 Hata mbwa anafanya ngono, kufanya mapenzi ni LEVEL nyingine kabisa ambayo hutamu isomeke UTAMU wake ni vigumu kuulezea kwa maneno ππππ Mke wangu mjamzito said: Kufanya mapenzi mara nyingi inahusisha wapenzi haswa wanaopendana mfano mimi na mke wangu. Kufanya ngono mfano unapomnunua malaya pale mnafanya ngono ye yupo kipesa zaidi ndo mana hajali kurizishwa Click to expand...
Hata mbwa anafanya ngono, kufanya mapenzi ni LEVEL nyingine kabisa ambayo hutamu isomeke UTAMU wake ni vigumu kuulezea kwa maneno ππππ Mke wangu mjamzito said: Kufanya mapenzi mara nyingi inahusisha wapenzi haswa wanaopendana mfano mimi na mke wangu. Kufanya ngono mfano unapomnunua malaya pale mnafanya ngono ye yupo kipesa zaidi ndo mana hajali kurizishwa Click to expand...
Troublemaker JF-Expert Member Jun 8, 2015 19,906 38,561 Jul 3, 2020 #22 TheChoji said: 4. Kugegedana je? Click to expand... Hilo neno halijarasimishwa kama msamiati wa kiswahili. Hilo neno unalikuta JF tu. Kama ilivyo neno Papuchi.
TheChoji said: 4. Kugegedana je? Click to expand... Hilo neno halijarasimishwa kama msamiati wa kiswahili. Hilo neno unalikuta JF tu. Kama ilivyo neno Papuchi.