Hiyo historia haifundishwi mashuleni kwaoHawawezi thubutu kutugusa sisi watanzania kwa sababu tulipigania ukombozi wao!!
Aaah wapi, kwao waafrika wote ambao sio wasauz huwa wanawaita 'makwerekwere', jina la dharau yaani ni zaidi ya hayawani.Hawawezi thubutu kutugusa sisi watanzania kwa sababu tulipigania ukombozi wao!!
Hawawezi thubutu kutugusa sisi watanzania kwa sababu tulipigania ukombozi wao!!
Haha you mean hata joto la jiwe na ichoboy01 ni makwerekwere na vile wao hujigamba humu eti waliwakomboa &they r the only friends they have? Hahaha maajabu hayaAaah wapi, kwao waafrika wote ambao sio wasauz huwa wanawaita 'makwerekwere', jina la dharau yaani ni zaidi ya hayawani.
😆😆😆😆😆😆😆😆 WEWE KILAZA SENIOR MIMI KILAZA JUNIOR!Nawewe siku hizi ni mtz!!!!,basi kuanzia leo sitaki kuitwa mtz.
Hatuna watu vilaza namna hii.
Wamekombolewa wakapewa nchi yao sasa ulitaka sisi ndio tuwatawale nenda upime mkojo😆😆😆👇Haha you mean hata joto la jiwe na ichoboy01 ni makwerekwere na vile wao hujigamba humu eti waliwakomboa &they r the only friends they have? Hahaha maajabu haya
Hawawezi thubutu kutugusa sisi watanzania kwa sababu tulipigania ukombozi wao!!
Mbona wao wenyewe ni mavivu hataree sasa?Walifungiwa maisha miaka mingi sana
Sasa wao wenyewe wanashangaa na kuona walikua gizani na wamefungua macho sasa
Kila kitu wanaona ni chao tu hata ukifungua biashara wanaona ni ya mama yao
Mbwa kweli hao
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
AsubutuuuuHawawezi thubutu kutugusa sisi watanzania kwa sababu tulipigania ukombozi wao!!
Tena wavivu wa kutupwa ndio maana wanasubiri ufungue biashara wanabeba kila kitu, ni njaa tu na ujinga unawasumbua
Heard about this, na hii imechangia sanaWasouth wengi hata hawajui Kanisa wala msikiti so ukatili uko kiwango cha juu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana wivu na roho mbaya...ila mwafrika ana shida mahali kwenye ubongo wake eti?[emoji848]Tena wavivu wa kutupwa ndio maana wanasubiri ufungue biashara wanabeba kila kitu, ni njaa tu na ujinga unawasumbua
Wameua sana foreigners
Sent from my SM-G570F using Tapatalk