Kuna saloni mpya anatafutwa kinyozi

Megfar2001

Member
Joined
Aug 24, 2022
Posts
68
Reaction score
96
Habari za sahizi

Naishi Dodoma Chang'ombe, kaka angu kafungua salon anatafuta KINYOZI kama yupo mwenye ujuzi huo anicheki
 
Kila heri, ila vinyozi DODOMA ni changamoto kubwa !
 
Niliwahi kufungua saluni tatizo mnyoaji anaringa Sana na mauzo anabana nkaamua kufunga nikaendelea na biashara ninazofanya mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…