jamani TCU this year
wametenda watu.... pipoz are suffering coz of ishu ya Vyuo Mungu
atusaidie tu. tuombeeni wadogo zenu kama mimi Nina point nzuri zaidi ya
kumi but wananitesa tu
TCU wanatutesa sana especially sisi watu wa diploma
TCU wanatutesa sana especially sisi watu wa diploma
Jamani naombeni ushauri mimi nimechaguliwa chuo cha udom na kozi yangu ni priority.sasa tcu ktk kunichagua wametumia namba tofauti na niliyoombea mkopo.ni kwamba mimi nina vyeti vitatu vya form four lkn bodi ya mkopo ilishauri kutumia cheti cha kwanza lkn ktk information nilizojaza ilihitaji kuorodhesha namba zangu zote za form four na hata ktk kuaply chuo niliorodhesha pia.sasa tatizo linakuja tcu wamenichagua ktk namba yangu ya cheti cha tatu na walivyopeleka bodi ikaonekana cjaaply.nikaenda ktk ofisi ya heslb wakanijibu kuwa namba ya tcu iliyotumika haitambuliwi lkn suluhisho niandike barua na niambatanishe photocopy ya zile form niliyotuma ktk kuaply mkopo nikafanya hivyo na mikapeleka ni one week sasa tangu nifanye hivyo.sasa swali langu ni hivi ni nini maana ya system inayotumika hadi ikashindwa kutambua namba zangu au ni njia mojawapo ya kunyimwa mkopo au tcu inashirikiana na bodi kutuumiza wanyonge.inaniuma kwa kuwa niliutegemea sana na chuo kishafunguliwa bado cjaripoti na nikikosa ina maana siendi chuo coz cna uwezo wa kujisomesha ada ni kubwa na wazazi wangu ni wastaafu kazi nazo ni za shida na nikikosa ndio bbac tena kwani hata elfu 50 na 30 za kuaply chuo na mkopo mungu anajua nilivyopata.na kusoma napenda sana tena sana.naombeni ushauri wenu
Nimeingia humu kuleta dukuduku langu kuhusu TCU nikakutana na nyuzi zilizoondolewa zinazohusu TCU. Sijui zilikuwa zinaongelea nini? Mi nauliza tu wale wadogo zangu waliopita kwenye mchakato wa kuchaguliwa kujiunga na vyuo na hasa wale waliotaka kubadili kozi kwa kuhamia chuo kimoja kwenda kingine au ambao hawakuchaguliwa kabisa kwa kigezo cha kuwepo kwa ushindani kwa kozi walizochagua hasa medicine. Baada ya juhudi za kumsaidia mdogo wangu aliyetaka kwenda kusomea udaktari kugonga mwamba ilibidi nitafute nguvu ya kumshawishi akaanzie tu diploma maana hataki kuskia kitu kingine zaidi ya medicine. Nilifikiri angeniona mzembe kwa kushindwa kufanikisha ndoto yake ya kwenda kcmc lakini akaniambia sister wala usihuzunike. hii nchi imeshaoza. jamaa yangu ana pointi kaa zangu lakini kapata muhimbili. mshkaji wake mwingine naye alikutana na kali ya kuombwa rushwa ya milioni 1 ili aweze kupangiwa muhimbili. jamani hizi ni tuhuma zinazotokana na kukosa au kuna ukweli??? Usikute napoteza nguvu bure kusitikika.
asante kwa ushauri wako but baba yangu alienda wakamwambia aandike barua lkn walimjibu kijeuri so hakutaka tuendelee na tcu.hivi licha ya kuandika barua na kuatachi ile fomu niliyoomba mkopo watatusaidia kweli au gelesha tuHii ngum, anzia TCU, nenda phyzkally,nenda na vyeti vyooote na dokuments zoote,waeleze kinachokucbu watakupa majibu. Uko mkoa gun vle???
asante kwa ushauri wako but baba yangu alienda wakamwambia aandike barua lkn walimjibu kijeuri so hakutaka tuendelee na tcu.hivi licha ya kuandika barua na kuatachi ile fomu niliyoomba mkopo watatusaidia kweli au gelesha tu nipo dsm tbtHii ngum, anzia TCU, nenda phyzkally,nenda na vyeti vyooote na dokuments zoote,waeleze kinachokucbu watakupa majibu. Uko mkoa gun vle???