P peho Member Joined Oct 9, 2013 Posts 75 Reaction score 23 Jun 2, 2014 #1 Martha mlata mbunge kafiwa na mzazi.zitto kabwe kafiwa na mama.mke wa mh lukuvi kafiwa na baba.asha rose migiro kafiwa na mdogo wake.jamani ni nini tena? Viongozi wote wamefiwa kwa wakati mmoja.poleni sana.
Martha mlata mbunge kafiwa na mzazi.zitto kabwe kafiwa na mama.mke wa mh lukuvi kafiwa na baba.asha rose migiro kafiwa na mdogo wake.jamani ni nini tena? Viongozi wote wamefiwa kwa wakati mmoja.poleni sana.
Super Handsome JF-Expert Member Joined Jul 16, 2013 Posts 3,844 Reaction score 6,468 Jun 2, 2014 #2 Sasa unatarajia jibu la aina gani? kwani viongozi sio binadamu?
P peho Member Joined Oct 9, 2013 Posts 75 Reaction score 23 Jun 2, 2014 Thread starter #3 Super handsome you are right.sema tu nimeona ni vyote vimetokea ktk siku mbili juzi na jana.by the way asante kwa kuchangia.
Super handsome you are right.sema tu nimeona ni vyote vimetokea ktk siku mbili juzi na jana.by the way asante kwa kuchangia.