Kuna nini? kwanini UDSM tu?

GABE100

Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
51
Reaction score
2
Katika awamu ya nne ya uongozi ya urais ya uongozi wa Tanzania kumetokea wimbi la kuteua wahadhiri wa chuo kikuu cha Dar es Salaam katika nafasi mbalimbali za uongozi wa kisiasa, mfano waziri wa nishati na madini Sospeter Muhongo, Mwajabu Possi (mwenyekiti wa bodi ya TBC), Rose Migiro (mkuu OUT),Professor Samwel Victor Manyere (mkemia mkuu) na wengineo.

Je kuna nini hapa? je ni kwamba hakuna wengine wa kushika nafasi hizo? je hakuna wahadhiri wanaoweza kujaza nafasi hizo?
 
Mbadala wa hao kwa maoni yako wangekuwa kina nani? Kamilisha hoja yako kiongozi

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Dhana ya ushkaji, kujenga mizizi ya chama chuoni
 
wanakumbukana kwenye enzi zao.kama yesu na msurubiwaji mwenzake msalabani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…