Asante Kulwa maana watu wengine wanazingua mtu kapata division 3 amepangiwa chuo wewe na two yako ya 10 hujapata, acha jamaa akurushe ooh! mara second selection tiyari kumbe bado
Bado but kuanzia tarehe 27- 30 zitakuwa tayari but kwa sasa bado ndugu kwani Leo ndiyo mwisho wakuapply watafunga SAA sita usiku hivyo hawawezi kutoa ilihali wengine bado wanaomba kuwa na subira
Asante Kulwa maana watu wengine wanazingua mtu kapata division 3 amepangiwa chuo wewe na two yako ya 10 hujapata, acha jamaa akurushe ooh! mara second selection tiyari kumbe bado
Acheni umbumbumbu bhana, MTU aliye pata division two na akajipendekeza kuomba kozi ya ushondani mkubwa mfano MD,pharmacy lazma aachwe na aliyepata three akaomba kozi zisiZo na ushindani ni lazma apate bhana