Ndipo alipojificha Ayatollah? au wanatafuta kisingizio kwa Israel kumbe wamemuua wenyewe au alidanja kitambo so wanaandaa mazingira kama Jiwe alivyoandaliwa.
Yule General Spy wa Israel utasikia kapona bila majeraha maana vifo vya wenzake lazima awe maeneo ya karibu