Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,473
- 4,007
Hayo maneno yako tu ya mdomoni, weka ka video ukiwa unamkabidhi fedha zote hapo tuone kama wewe ni mkweli, najua ukimuonyesha hela tu hazirudi kwakoNafanya hivyo mkuu....ona sasa shemeji anakuita bahili. Chafua meza mzee baba.
Tehtehteh.......hapa kijiweni za kuambiwa changanya na zako.Hayo maneno yako tu ya mdomoni, weka ka video ukiwa unamkabidhi fedha zote hapo tuone kama wewe ni mkweli, najua ukimuonyesha hela tu hazirudi kwako
NimeshapoaPole
Kama unazo si umpe tu ubahili haukupendezi mtoto wa kiume ujueHivi kuambiwa mbaili na msichana maana yake nini ni kama sielevi vile, yeye anasema alikuwa anategemea akikohoa tu anataka hela nimpe haijalishi ni muda gani au ni siku gani.
Hivi kweli unaweza ukamfanyia mtoto wa mwenzio hivyo kweli, mama kijijini hatumii smart phone kabisa, yeye ananiambia akikohoa tu akute nimempa iPhone X, sio mchumba wangu, wala gfriend huenda anajihisi kuwa tayari ameshakuwa.
Ebu mliopo kwenye mfumo njooni mtuambie ndo hivyo huwa mnakoholewa na mnatenda eti, maana naye anasema nikikohoa tu anafungua miguu naingia, mi sijawahi na sihitaji icho kitu kwa sasa inakuwaje.
Funzo lililochanganyikana na fumbo la imaniBujibuji iyo ni adhabu au
Haki ya nani nimeamini na wewe unaweza kuniita mbahiliKama unazo si umpe tu ubahili haukupendezi mtoto wa kiume ujue
Kati ya wanaongoza kuonga ni Mimi NYOTIENO JARIEKO Jana tu nimehonga Hadi na ATM, Sasa hivi nipo kwenye harakati ya mazungumuzo na m/kiti wa Kijiji nionge Kijiji nzima.Tunatoa mkuu...wewe baada ya mauzo/mshahara mpelekee zote mwambie babe nilichopata leo hiki mama watoto wangu.
Zipangie matumizi.
EendiwooHaki ya nani nimeamini na wewe unaweza kuniita mbahili