Simba alikuwa anagongwa tano kutokatana na approach ya kocha mkuu.....Ugenini anashambulia tu, as if wako level moja na Ahly...
Usajili bado haujafungwa...ko subiri Ukuta lazima uzingatiwe...
Wameshaanza na Ame na Kameta kama backup ya Kennedy na Kapombe......
Bado beki moja ya kimataifa hivyo unapaswa kutulia mkuu.
Mbona kule ujerumani Bayern Munich anambomoaga sana Dortmund?
Mkuu unamfahamu kameta "duchu"?Hahahaha we jamaa umenichekesha kinoma. Eti mmeanza na ame na kameta. yaani hao ndio wakupunguza zile 5?
Duh yaani hujui kwa Nini ilitangazwa Jana na Leo wameiondoa kwenye IG page yao, huwa nacheka Sana mnavyolumbana.Ndo matatizo ya kuwa na viongoz wa kiswahili Swahili Hawa mkuu Hatuwez kuwaza mbele Uko ligi ya mabingwa ET sis tunawaza apa Tanzania tu kumharibia yanga bhas huu n utahira tena n uzuzu
Matunda yapi Unataka, simba amedominate ligi ya Tanzania miaka 3 sasa.Chukua mafuta ya mawese upake usoni. maana naona ushaanza kuchanganyikiwa. Yaani mfumo wa usajili wa bayern ulioonyesha matunda unaufananisha na mfumo wa usajili wa simba ambao hujawahi kuonyesha matunda licha ya kutumika kila msimu.?
Walikuwa wanamuita mwizi wa magari, sasa amekuwa ni mtakatifuMashabiki wa simba jana wameruka-ruka kama ndama wakishangilia ujio wa Morrison ambaye hapo awali walisema hajui mpira [emoji1787]
Hadi sasa sipati picha kitakacho kuja kujitokeza baada ya kikao na tffWalisema Yanga imesaini mwizi wa magari. Labda wanamtaka akaungane na Mzungu pori kuiba na kutapeli magari.
[emoji112]viganja.
Wakosoaji wapo popote tu, wawe wa nje au wa ndani. Kama timu imefuzu hatua ya makundi, ikapenya na kushika namba mbili katika kundi, ikacheza robo fainali, na na bado unasema haijafanya chochote, nina mashaka na uSimba wako!... Lakini kimataifa sijaona kama tumefanya chochote mpaka sasa.
Morrison amechukua nafasi ya deo kanda anaerudi kwenye timu yake ya Tp mazembe, siunajua alikuja simba kwa mkopo wa mwaka mmojaKulia atakimbiza Morrison, Kushoto atakimbiza Miquosone. Sub Deo Kanda, Sub Kahata. Hapo hamna hamna mpaka half time Al Ahly 0-4 Simba, Tena tuko away Misri hapo.
Hebu nikuumbue hapa kwamba wewe ni shabiki wa chura, sio wa mnyama. Nakuwekea post yako moja tu kati ya nyingi:Naipenda na naiheshimu timu yangu sana. Naipa muda nione matokeo ya mkakati huu. Lakini kimataifa sijaona kama tumefanya chochote mpaka sasa. Zile tano zitahusika nasi sana tu ugenini; hata kama tutashinda nyumbani Muda utaongea.
Piga Mikia hiyo....Tuko upande wenu kiroho ndugu zang wote wa Singida United.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mzee Rage kuwaita mbumbumbu wala hakukosea!Mashabiki wa simba jana wameruka-ruka kama ndama wakishangilia ujio wa Morrison ambaye hapo awali walisema hajui mpira 🤣
Well said. Kuumizana.
Sajili za Gardiel, Ajib, Beno na sasa Morrison zimelenga kuiharibia Yanga kuliko kuimprove Simba.
Tayari kwa hao watatu wa mwanzo imeonekana dhahiri.
La Morrison ni njama ya kusema kuwe na mgogoro tumkose wote.
Meanwhile, hakuna efforts za kukwepa zile tano za ugenini champions league.
TFF wako upande wa Mikia kuiumiza Yanga. Hili jambo mwisho wake ni CAS.Hadi sasa sipati picha kitakacho kuja kujitokeza baada ya kikao na tff
Lengo letu ni kuwatoa kwenye reli, maana sisi tupo kamili hata bila MorrisonTFF wako upande wa Mikia kuiumiza Yanga. Hili jambo mwisho wake ni CAS.
Hilo lishajulikana.Lengo letu ni kuwatoa kwenye reli, maana sisi tupo kamili hata bila Morrison