twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
Wanachitchat,tafadhali jamani naombeni mnisaidie kumwambia mimi namuogopa.Nimeambiwa ni mjane,ana hasira uyo halafu hakawii kujilipua.Mwambieni nikimpata nitamtunza na kumpa mahaba mazito sana atasahau mabaya yote ya kale na hatokuwa na mistress ya ajabu ajabu tena.Ni mtu maarufu sana hapa Jf anapatikana zaidi kwenye lile jukwaa la pasua vichwa.Naombeni mniitie tafadhali moyo wangu utulie.Ahsanteni.
Mmmmmh..nina wasiwasi na wewe.Mkuu kabla hatujafanya lolote hebu tudokeze amefiwe lini ?? Ili tuweke mikakati.
Wanachitchat,tafadhali jamani naombeni mnisaidie kumwambia mimi namuogopa.Nimeambiwa ni mjane,ana hasira uyo halafu hakawii kujilipua.Mwambieni nikimpata nitamtunza na kumpa mahaba mazito sana atasahau mabaya yote ya kale na hatokuwa na mistress ya ajabu ajabu tena.Ni mtu maarufu sana hapa Jf anapatikana zaidi kwenye lile jukwaa la pasua vichwa.Naombeni mniitie tafadhali moyo wangu utulie.Ahsanteni.
Mmmmmh..nina wasiwasi na wewe.
Wasi wasi wako tu Mkuu, mbona nishasaidiaga wengu. Please trust me .. funguka
mbona mi hujawahi kunisaidiga kalukamise
powa mambo yako !!!
shwari!umemtambua huyo mbibi anaetafutwa?
Hapana, je wewe mwenzangu umemtambua? maana anasema ni mjane na ni mkali ile mbaya, sasa hajataja jina wala alivyo, inakuwa ngumu kumfahamu.
pia anasema anapenda lile jukwaa pendwa..hapa unaweza ukamtaja mtu ukapata na ban!
naendela na evidence collection!
jukwaa pendwa ni lipi! MMU? CC ? ama lile la WAKULU?
ntampata tu leo!
litakuwa lile la WAKULU!!!!!