Mimi ni CCM ila niwape angalizo tu kuongoza chama cha upinzani sio sawa na kuongoza chama tawala chenye rasilimali na kimedumu miaka zaidi ya 50. Vyama vya upinzani havina rasilimali na mkitaka vife anzeni mtindo wa kapokezana uongozi wa juuKuna la kujifunza kutoka CCM:
Kwanza niseme tu kuwa mimi naunga mkono upinzani, lakini nimeona kuandika uzi huu baada ya kuona kuna kitu ambacho sisi wapinzani tunachakujifunza toka kwa CCM. Pamoja na mapungufu mengi ya chama tawala lakini bado angalau wana mifumo ya kidemocrasia hata kama haijakamilika lakini kitendo cha kubadirisha viongozi wakuu kwenye chama ni kitu cha kuigwa. Hivi ndani ya vyama vyetu hakuna watu wengine wanaoweza kuongoza?? Kwamba lazima wawe ni wale wale tu. Lini Mbowe atapumzika, Lini Maalim Seif atapumzika, lini Mbatia atapumzika du, na isingekuwa mvutano pengine na Lipumba angekuwemo mpaka leo. Tunahitaji fikra mpya ndani ya vyama vya upinzani kama ni kweli tunahubiri democrasia. Inawezekana nikawa kinyume na wengi lakini, nimeona niwe muwazi kutoa maoni yangu.
Maelezo yako hayagusi pia na waafrika kutaka kuwa na demokrasia kama ya wazungu.Mimi ni CCM ila niwape angalizo tu kuongoza chama cha upinzani sio sawa na kuongoza chama tawala chenye rasilimali na kimedumu miaka zaidi ya 50. Vyama vya upinzani havina rasilimali na mkitaka vife anzeni mtindo wa kapokezana uongozi wa juu
Hivi mwaka jana cdm ilimpataje mgombea urais wake!? Hapakuwa na wajumbe toka nchi nzima kuja kuitikia ndiooo.... Tena kwenye hotel la kifahari na mbwembwe zile zile zilizofanywa jana na ccm!!Tujifunze nini, matumizi mabaya ya fedha yasiyokuwa na sababu, watu zaidi ya 2000 kuitwa kubariki uamuzi ambao tayari uliishafanyika. kuturudisha enzi za kupiga kura mtu na kivuli, wangemkataa wangemchagua nani? tujifunze nini, tunauhakika gani kama hapakuwepo kura za hapana.
Ivyo vyama bado ni vichanga.Bado vinahitaji kiongozi wa namna hiyo.Vikija kushika madaraka vita badilisha tu viongozi.Kuna la kujifunza kutoka CCM: