mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,967
Sio pepo au nini niujinga wako na tamaa zako, kutoheshimu mpezi wakoSalamu
Kuna hii hali inanitokea mara kwa mara. Sijui ni mkosi, sijui ni pepo sijui ninini?
Nikimtongoza demu yoyote na kuanza naye mahusiano , baadaye ni lazima ije itokee kupendwa zaidi na rafiki/ndugu/mtu wake wa karibu. Na hatikaye naye kufanya naye mapenzi.
Hapo mwanzo sikuwa nikiipatiliza sana hali hii, lakini kwa sasa naona inataka kunizoea.
1. Demu wa kwanza , ilitokea nikaja nikapendwa na dada yake (nikamgonga)
2. Demu wa pili, ilitokea kupendwa na mdogo wake (nikamgonga)
3. Demu wa tatu, ilitokea kupendwa na rafiki yake (nikam mbato)
4. Demu wa nne, ilitokea kupendwa na ndugu yake mwingine (nikam gapi)
NA WENGINE WENGI AMBAO SIAWAELEZEA HAPA.
sasa jamani
Huu ni mkosi, balaa, au ni kujiendekeza tu.
Ha ha haNi hali ya kawaida hata wanaume wenzio wanakutana nayo hiyo na wanashinda, wewe tu na ukware wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalizo: usije ukagegeda mke wa mtu na wewe kibao kikakugeukia.Salamu