Kuna binadamu wengine wanataka iphone mpya lakini kuna wengine wanataka chakula

Hali hii inasikitisha sana jamani .wakp wapi watu na binadam wenye huruma na kuwajali wengine? Tuseme nini basi ja Afrika pamoja muungano wetu AU tumeshindwa kutatua tatizo la chakula ktk bara hili? Viongozi waliopewa dhamana hawaoni watu hawa wanavyoaangamia kama hawana msaada wowote? Ifike sehemu viongozi pamoja na wananchi tujiingize zaidi ktk kuzalisha chakula cha binadam kuliko kuhubiri amani eneo lenye njaa" Hamu imeniisha utu wa binadam uko wapi
 

Daaah mzizimkavu kuna muda huwa unatutoa machozi kwa kweli, hv wanajanvi mnaamini kweli kwamba kuna mwisho wa dunia ? Mi kwa sasa nimeanza kuamini kwamba mwisho ni hapa hapa , Mungu wetu ni bwana mwenye huruma , basi tuonee na uwaonee huruma watu hawa na wale wasyria waliokimbilia misri wakidhani wanajihifadhi , wanaoteseka ni akina mama na watoto ambao ni malaika wako . Ibariki Tanzania na watu wake .
 
Ni kweli, maana huo mkono sijui kama hata una nguvu za kuunda tonge la ugali

Mungu aingilie kati na kuturehemu
 
hizi picha zinakazia sana hoja za kiranga haki ya nani hii kitu mungu yahitaji sana kujichanganua ufanyaji kazi wake vinginevyo mungu ni dhana tu.
 
Hio ndo maana ya kutoa zakka na sadaka.

Tunaopewa kwetu zinapita tu tu-share na wengine na sio kijilimbikizia tu il hal wengine ndo kama ivo.
Kuna a very big gap kati tajiri na fukara, why?
 
ngozi nyeusi laana tupu

Mimi nadhani hata huku udhunguni kama viongozi wangeacha kujali utu wa mtu -(kuachana na foster houses, nyumba za wazee, vituo vizuri vya rehab, mfumo mzuri wa social protection) tungeshuhudia hayo hayo kwao. Jambo la kujiuliza ni kwa nini viongozi wetu hawajifunzi kutoka kwa hao? Nina imani tatizo si rasilimali kutokuwepo bali mgawanyo sawia wa rasilimali
 
Granted kuna wengine wanataka simu (mpya au hata isiyo mpya sana) kwa sababu hawana kabisa, that is understandable kwa sababu mawasiliano ni kitu cha msingi.

Kwa wale wanaotaka simu mpya kwa sababu ni mpya tu kuna mengi ya kujiuliza.

Binadamu walio evolve katika fikra wanafikiria mara mbili kabla ya kutaka simu mpya, what with all the blood silicon and pollution.

I have a Samsung Galaxy Note 2 that I bought 3 years ago, it does everything I want except polishing my shoes.

Why should I be Apple's/Samsung's b.itch and buy every new fad they put out there? For example, I checked out the new Samsung watch and decided it is mediocre and does not add value to my lifestyle.

I used to know a friend's sister who was so fixated by a Musso commercial, the girl looked like she would go to heaven if they were to own one.Then my family bought one, and it did not live up to expectations.Nikawa nashangaa, yule msichana dada yake na rafiki yangu alilipendea nini hili Musso? Nikaja kugundua ni kazi ya advertising tu, unapewa image ya Musso inakuwa kama mbingu vile. Ditto simu. First of all most of the features do not work as advertised.

I myself was fixated on a Range Rover, then yours truly family's acquired one. I found out the fuel consumption (Vogue 5,000cc) was not what an ethically responsible person with a care for the environment would go for.

Anything that glitters is not necessarily gold.

Kuna watu wamenunua simu mpya na kutupa flipphones zao, wanalalamika simu mpya hazikai na charge inabidi ziwe charged kila siku, wakati walizoea flipphones zinakaa na charge wiki nzima. Sasa kwa mtu ambaye hata hatu,ii features za hizo simu mpya ni bora hata kubaki na hiyo flipphone.

Don't get me wrong, as a technology enthusiast I am an early adopter and I usually go big, but after a certain level of meaningless iterations with mostly cosmetic changes, if someone sits out a farcical upgrade because it does not add value, I will totally get that.
 
yamkini huyu aliyeshikwa bega si mtoto ila ni njaa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…