erique JF-Expert Member Joined Apr 23, 2010 Posts 587 Reaction score 579 Feb 23, 2014 #1 Wadau habari za Jumapili Naomba kufahamishwa kama naweza kupata antena ya tv ya kuweka ndani yenye nguvu??ambayo naweza kuitumia kama mbadala wa antena za kawaida za kuweka nje?
Wadau habari za Jumapili Naomba kufahamishwa kama naweza kupata antena ya tv ya kuweka ndani yenye nguvu??ambayo naweza kuitumia kama mbadala wa antena za kawaida za kuweka nje?
124 Ali JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 7,812 Reaction score 5,526 Feb 23, 2014 #2 zipo nyingi tu tatizo je hapo ulipo kuna signal za kutosha?
Meljons JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 3,105 Reaction score 1,410 Feb 23, 2014 #3 124 Ali said: zipo nyingi tu tatizo je hapo ulipo kuna signal za kutosha? Click to expand... hapa arusha zinapatikana wapi?
124 Ali said: zipo nyingi tu tatizo je hapo ulipo kuna signal za kutosha? Click to expand... hapa arusha zinapatikana wapi?
umatemate JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 755 Reaction score 140 Feb 23, 2014 #4 Meljons said: hapa arusha zinapatikana wapi? Click to expand... dukani