Kuna alieconfirm TIA Mwanza?

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
90
Za asubuhi wadau,
Nauliza kwa aliechaguliwa TIA Mwanza anijuze amefanikiwa kwa namba ipi maana namba zao hazipatikani.
 
Nawasubiria maana mwisho Leo kuconfirm
 
Mkuu we uliomba maombi kwa njia ipi le ya awali ya fomu au ya online application
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…