Asante sana mkuu kwa kunielewesha,sasa nimeelewa kuwa HDMI cable na display port ni tofauti kabisa,na nimechunguza vzr kwenye laptop yangu nikagumdua kuwa ina displa port tofauti na yule aliyeniuzia laptop alinilisha matango pori kuwa ile ni port ya HDMI......Je, kuna uwezekano wa kuunganisha my laptop yenye display port na my Televisio....yaani vitu vya kwenye laptop nivione kwenye TV?