Eti ni kweli mwanaume kumtongoza mwanamke au kutongozwa mida ya asubuhi ni laana?
Ni kweli kwenye kutongoza kuna time limit?
Wajuvi wa mambo hebu tusaidiane jamani.
Sio laana mkuu tena huwa wanapenda sana. Hawa viumbe wasipotongozwa hata siku moja huwa wanakuwa na maswali sana vichwan mwao.
Ila kwa sie midomo zege njia ya simu au kutongozewa huwa safi sana. Hautumiii nguvu nyingi taratibu unabeba mzigo