yomboo JF-Expert Member Joined May 9, 2015 Posts 6,225 Reaction score 4,905 May 31, 2015 #21 MOTOCHINI said: Hehe umefika mbari du! Click to expand... Unafkiri motochini yani next generation watadata unafikiri kuna watu kwenye hili taifa lilojaa watu bora liende Upuuzi mtupu
MOTOCHINI said: Hehe umefika mbari du! Click to expand... Unafkiri motochini yani next generation watadata unafikiri kuna watu kwenye hili taifa lilojaa watu bora liende Upuuzi mtupu
K KAMP2015 JF-Expert Member Joined May 27, 2013 Posts 281 Reaction score 69 May 31, 2015 #22 Watanzania ni watu wa ajabu sana, na wanasahau harak san kwasababu ya pesa! Ila ninachoamini ni Kuwa lowasa hawezi kuwa rais, kwanza ndan ya CCM hatoki na akitoka ukawa tunamsubiri kaz iwe rahisi
Watanzania ni watu wa ajabu sana, na wanasahau harak san kwasababu ya pesa! Ila ninachoamini ni Kuwa lowasa hawezi kuwa rais, kwanza ndan ya CCM hatoki na akitoka ukawa tunamsubiri kaz iwe rahisi