Mohamed Mbelwa
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 507
- 272
Unabadilisha slogan tu
2005 kilimo kwanza , maisha bora kwa kila mtz ,nguvu mpya,hali mpya, kasi mpya,
2010 nguvu zaidi, hali zaidi, na kasi zaidi.
2015 safari ya matumaini. Elimu kwanza
Unabadilisha slogan tu
2005 kilimo kwanza , maisha bora kwa kila mtz ,nguvu mpya,hali mpya, kasi mpya,
2010 nguvu zaidi, hali zaidi, na kasi zaidi.
2015 safari ya matumaini. Elimu kwanza
Amegundua vijijini kuna vijana hujaza masandukuni nguo za kampeni kwa matumizi yao baadae, hakuna lingine wanalowaza bora kumekucha.ILA EL NI MBINAFSI AKIPEWA WATAKOMAUnabadilisha slogan tu
2005 kilimo kwanza , maisha bora kwa kila mtz ,nguvu mpya,hali mpya, kasi mpya,
2010 nguvu zaidi, hali zaidi, na kasi zaidi.
2015 safari ya matumaini. Elimu kwanza
Watanzania tufunge tukiomba huyu Lowassa asije akapewa nchi hii...
Watanzania tuna akili kama za kuku,tunadanganywa tunakubali
Amegundua vijijini kuna vijana hujaza masandukuni nguo za kampeni kwa matumizi yao baadae, hakuna lingine wanalowaza bora kumekucha.ILA EL NI MBINAFSI AKIPEWA WATAKOMA
Yaani ni kama imelaaniwa Tanzania. Heri hata Ng'ombe kuliko watanzania wa ajabu kama hawa wa kumshabikia Mamvi.
Hivi vugu vugu la katiba mpya limeishia wapi?
Umesahau " Maamuzi Magumu". Huyu mtu CCM wakimteua, halafu wananchi wakaja kumpa ridhaa ya kushika dola, basi kutoka hapo kutakuwa hakuna shaka yoyote kama wananchi wa Tanzania wataingizwa kwenye kitabu cha GUINESS.
Yaani ni kama hatuna vichwa. . . . . .
Watanzania tufunge tukiomba huyu Lowassa asije akapewa nchi hii...
Sidhani kama watanzania watarejea tena makosa. Wale watu uliowaona pale arusha ni kutoka mikoa mbali mbali ya nchi. STAY CALM.
kama kweli bado watz tunafanyiwa hv nchi inaongozwa kwa kauli mbiu! bado watu wanaambiwa safari ya matumain kweli bado wanashabikia ccm na lowasa kweli tupimwe uwezo wt wa kufikili.
Unabadilisha slogan tu
2005 kilimo kwanza , maisha bora kwa kila mtz ,nguvu mpya,hali mpya, kasi mpya,
2010 nguvu zaidi, hali zaidi, na kasi zaidi.
2015 safari ya matumaini. Elimu kwanza
Baada ya hapo yanashangilia kisha kulia liaUnabadilisha slogan tu2005 kilimo kwanza , maisha bora kwa kila mtz ,nguvu mpya,hali mpya, kasi mpya,2010 nguvu zaidi, hali zaidi, na kasi zaidi. 2015 safari ya matumaini. Elimu kwanza
Kuya ondoa mazombi mtihani upoTaifa LA mazombi hahahahaaa hii nchi isha jifia zamani sana
Kuya ondoa mazombi mtihani upo
Hehe umefika mbari du!90 % ni wafu motochini
Watanzania tuna akili kama za kuku,tunadanganywa tunakubali