kumuonea ni kumpiga bila kosa!!!! Ndugu vitasa muhimu.....kuna vitabia vingine havitoki bila maumivu na akina hawa huwa wanatabia ya kujifanya manunda bila sababu ya msingi.........ndugu fyatua mabanzi hii habari ya u-delicate creature itafika siku wataanza kusema ile kitu ni mara moja kwa mwezi.........upo
Napenda kuomba msaada wa mawazo kwenu wana jf kuhusu hili.Eti mke akikukosea, kumpiga ni uamuzi mzuri? B'se wengine wanasema kumpiga ni kumuonea kwani wao ni viumbe dhaifu,wengine ati ni njia ya kumuonya.Nisaidieni. Je ukimpiga
Ukimpiga fikiria hili:
Anakuacha unalala, ukianza kukoroma tu anachukua mche ana kutwanga nao, itakuwaje?
Hamna haja ya kumpigia ongeeni tu, kama kweli ni mkeo kama unavyosema.
nyie watu wazima wawili mnapokoseana mnashindwa kuketi na kuzungumza? mpaka mpigane? mnawafundisha nini watoto wenu? au unampiga anadondoka na kufa? si ndo mwanzo wa kunyea debe huo?
nyie watu wazima wawili mnapokoseana mnashindwa kuketi na kuzungumza? mpaka mpigane? mnawafundisha nini watoto wenu? au unampiga anadondoka na kufa? si ndo mwanzo wa kunyea debe huo?