Diamond‘Sukari ya Warembo', kwani baada ya kumpitia Uwoya, ni dhahiri kwamba ndani yaKlabu ya Bongo Movie amebakiza wa kuhesabu, tena ni wale ambao mvuto wao ni wakumulika kwa tochi, vinginevyo, vinara wote ameshadondoka nao dhambini.
Kwa kuanzia na JacquelineWolper, Wema Sepetu, Jokate Mwegelo, Aunt Ezekiel, Uwoya ambaye ni MakamuMwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unit pamoja na warembo wengine kibao, niwazi sasa mtandao wa ngono wa Diamond, unagusa karibu asilimia 97 ya mastaa wotewa filamu na muziki nchini...