Relationship za siku hizi ni kama birthday party, Once the cake is eaten the party is over[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
najua mnafikiria mdogomdogo[emoji23][emoji23] alafu unasikia mtu akisema don't tell anyone about us si bora nikae single[emoji849][emoji849][emoji174] Haya Dj niwekee yatapita ama siku izi hakuna mahaba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji174]
Jamani si nimemis zile maneno yenu nikaona acha nitafute kitu cha kunipea stress za maneno kutoka kwa GT
Nawapenda
Siku hizi naona mmeona inbox hawaji, jamaa alitusanua juzi hamna kodi, saivi mnajifungulisha vi nyuzi vya kimtego, hampati mtu hapa.
Kila mtu ashinde match zake.
Ujue huku GT kuna watu wana maneno makali mazito na yenye ukakasi sasa nimeyamis kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23]...Wanakujudge na kujipatia majibu wenyewe wakati hawakujui[emoji28]
Nasubiri mapovu yao