Huu ni mwaka wa 19 toka meli ya MV BUKOBA ilipo zama kuonesha upendo kwa marehemu andika neno BUKOBA kisha tumbukiza simu yako kwenye maji kwa dakika 1 na useme Bwana ametoa na Bwana ametwaa na jina la Bwana lihimidiwe Amina.Ukiona simu yako imezima ujue maombi yamefika na kupokelewa.
Sent using
Jamii Forums mobile app