KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
Samahani sana wanafamilia wa mzee Nnauye, pamoja na wanajamvi wenzangu. Nina swali nataka kueleweshwa kidogo. Kuuliza si ujinga. Hivi huyu Marehemu Mzee wetu alikuwa dini gani?
Answer:Mzee ameacha kumbukumbu mbaya sana kwetu. Sio kwa yale aliyoyafanya kwa nchi yake bali kiumbe alichoacha kwenye familia yake. Ametuachia mtoto mwenye kiburi, kiziwi, mipasho, vuvuzela ambaye amekuwa mzigo kwa taifa ambalo baba huyu alikuwa kioo! Kama tatizo sio malezi yake basi ni hujuma na ushawishi wa mafisadi ndio vilimzidi nguuu mwanae.
Tutaendelea kumwombea mzee wetu huyu wakati tukiendelea kupambana na mafisadi waliomwaribu mwanae ili angalau afuate yale mema na mazuri aliyoyafanya baba'ake kwa nchi yetu.
Watu wa kukumbukwa kwenye hii nchi ni wawili tu, Nyerere na Sokoine University of Agriculture. Hao wengine ni wa kuwapotezea tu.
Sokoine Universty of Agriculture ni mtu au ni Chuo Kikuu?Watu wa kukumbukwa kwenye hii nchi ni wawili tu, Nyerere na Sokoine University of Agriculture. Hao wengine ni wa kuwapotezea tu.
Hapo mkuu umeanza mambo ya "MPEKU MPEKUZI".Picha hapo juu nimeitoa michuzi blog, mbona jina la Nape silioni katika members wa familia ya Nnauye? Naomba maelezo kwa wadau wenye taarifa sahihi
Picha hapo juu nimeitoa michuzi blog, mbona jina la Nape silioni katika members wa familia ya Nnauye? Naomba maelezo kwa wadau wenye taarifa sahihi
Lilisahaulika wakati taarifa inachapwa. Na miongoni mwa wakwe nimeona January, ni Makamba? Nape anashambuliwa sana hapa kuwa ni balaa tuliloachiwa na baba yake. Lakini ukweli ni kwamba huyu ni miongoni mwa watanzania wachache sana wenye ujasiri wa kusimama mbele ya mafisadi ndani ya chama chake cha mafisadi. Shutuma zote tunazomrushia zingeelekezwa kwa mwenyekiti wa chama chake.
Ni kitu gani kinachokufanya umuone Nape kama hapo kwenye Red? Ninachokiona ni kwamba huyu kijana ni "zao" la siasa za makundi na tabia ya "kulipuana" vyote vilivyoletwa na siasa za wanamtandao. Bado sijamuona kama mtu mwenye uwezo wa kusimamia anachoamini. Swali ni kundi gani analolifanyia "uvuvuzela?". Angalizo kwake Nape " hakuna marafiki wala maadui wa kudumu katika siasa"Lilisahaulika wakati taarifa inachapwa. Na miongoni mwa wakwe nimeona January, ni Makamba? Nape anashambuliwa sana hapa kuwa ni balaa tuliloachiwa na baba yake. Lakini ukwei kwamba huyu ni miongoni mwa watanzania wachache sana wenye ujasiri wa kusimama mbele ya mafisadi ndani ya chama chake cha mafisadi. Shutuma zote tunazomrushia zingeelekezwa kwa mwenyekiti wa chama chake.
Samahani sana wanafamilia wa mzee Nnauye, pamoja na wanajamvi wenzangu. Nina swali nataka kueleweshwa kidogo. Kuuliza si ujinga. Hivi huyu Marehemu Mzee wetu alikuwa dini gani?
Nape ni kiongozi jasiri sana,nashangaa wanaombeza
Mimi pia sijaliona,mambo ya illegitime child.
Picha hapo juu nimeitoa michuzi blog, mbona jina la Nape silioni katika members wa familia ya Nnauye? Naomba maelezo kwa wadau wenye taarifa sahihi