Kumbukumbu [Mobile Phones]

hahahaaaa nakumbuka enzi hizo mzee wangu alikua na li motorola limoja likubwa sanaaa muda wote lipo kiunoni hapo kajipinda kaweka Dola 5 ole wako akukute umeishika kama aliiacha....
 
Mkuu kweli ni enzi hizo au 1999's and early 2000's........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…