kumbu kumbu mjarabu

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211


Ilikuwa ni april 27 mwaka 1993.
Vijana wale wa 'KK Eleven' walikuwa wakielekea Senegal kucheza me chi muhimu kuwania tiketi ya kucheza kombe la dunia kwa mwaka 1994.
Walipofika pwani ya Gabon, ndege ile ya jeshi ilianguka. Abiria wote 30 walipoteza maisha.
 
Eston Mulenga,Derby Makinka,Moses Chikwalakwala,Eford Chabala,Numba Mwila,na wengineo,Walale wanapostahili mashujaa wale...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…