Kumbe Zitto Kabwe alishapokea ‘’mlungura’’ wa Barrick Gold, tutapona kama Taifa?

Asilimia kubwa ya wabunge wanaobwekaga sana kushutumu watu au taasis fulani then baadaye wanaufyata amma ku-side tena na hao hao watuhumiwa huwa wanamalizana "kiaina".

Ni aina ya ujasilia siasa.
Kuwa mwanasiasa ni biashara inayolipa vizuri!
 
What I can add to these bizarre revelations is to besiege members of the team that will represent Tanzania in the negotiations with Barrick, to take their country to heart lest we come down on them with 'viper's anger'.

ENOUGH IS ENOUGH
You've said it!
 
Acha mbwembwe za kisiasa, rushwa umeiona kwa zito tu, hao wa chama chako cha makinikia wamekula rushwa kiasi gani waseme wote basi tuione list,
kwahyo hyo mikataba ndio ameisaini zitto.
Sometimes uache utoto, ingia kwenye hoja ya msingi , wataje waliopisha hii sheria na kisha kusainiwa mikabata..

Kama huna hoja ni bora kukaa kimya, kuliko kujidhalilisha na kujitoa ufahamu.
 

Mbona amekuwa mtetezi sana?
 
ccm cheerleaders kwenye hili sakata na lile la upotevu wa 1.5 trillion ZZK kawashika pembe na hamna hoja za kushawishi kuwa anachokisema si kweli zaidi ya kumpa tuhuma za ajabu kama hizi za rushwa.

Halafu kama una ushaidi kuwa anatumika na mabeberu kwanini usimpeleke mahakamani?
 
Mheshimiwa Zitto aje ajibu mapigo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…