Kumbe Zito siyo cdm

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,267
Tuliamini baada ya maneno kibao kuwa bila Zito hakuna cdm mkoani kigoma, sasa baada ya ziara ya dr slaa ndio tumegundua kuwa Zito sio cdm na cdm sio Zito, watu wanapenda SERA.
 

Attachments

  • 1386412699636.jpg
    113.4 KB · Views: 392
Wana kigoma ni waelewa Zitto ni mchumia tumbo ilo wana lijuwa, chadema ni zaidi ya Zitto hilo nalo wanalijuwa
 
Siku akiondoka Dkt,
nami ntafata anapokanyaga,
ila CDM ni kubwa,
nkiangalia majembe kama F mbowe, Vicent Nyerere,
Msigwa,
Lissu,
Mr II,
Mdee,
Mnyika,etal,
daima ntabaki CDM
Mola ibariki Tanzania,
Ibariki CDM.
 
Kweli vituko haviishi.
Hivi sasa anajifananisha na Mzee Madiba. Huyu mzee amekaa jela karibia 1/3 ya maisha yake kwa ajili ya kupigania haki wakati hapa tunamuongelea mtu anayemiliki msululu wa V8 na hajawahi kulala hata rokapu kwa kukitetea hicho anachodai!!!
 
Ni kweli mkuu, mtu mmoja hawezi kuwa zaidi ya taasisi si Zitto,Mbowe wala Wenje na ndiyo maana wahenga walisema mpinga wengi ni mchawi.Ni wajinga tu huamini hakuna CHADEMA bila Zitto!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…