Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,691
Tukiwa hapo USA tulikuwa tunakula nyama choma kwa Donii..(sijui bado yupo). Tukiwa Dar tunakula mdudu mpakani kwa mama Kamche[emoji2]Niaje Wazeiyaaaah...
Mko Bwaxx....
Ebana katika majukum yetu haya ya ukandarasi nikajikuta (nikabahatika) majuz kufika USA.
Nisiwe na porojo sana, ni kwamba the way nilivokua napackia palivo, maisha na kila kitu ni tofauti kabisa na nilivokuta.
yan hakuna toafuti na bongo.
Cku ya kwanza tu nafika nikashangaa mbona watu weusi ndio wengi huku???
Mbona wanaongea Kiswahili kama bongo tuu??
kama haitoshi hadi fedha wanayotumia ni Tanzanian Shillings.
Sio hivo tu, hadi bangi, mateja na miziki inayopigwa kwa radio statios na night clubs ni kama bongo tuuu
Yaani kifupi USA hakuna tofauti na bongo.
Kidoogo labda ka ubaridi kule kamezidi.
Sasa KILICHONIACHA HOI kabisa mpaka nikaamua kutype haya maneno ni kuwa:
Mpaka bank ya NMB ina tawi lake liko USA bana huwez amini.
Mimi nilidhani "USA River" ni pakishuua kumbe kama bongo Dar es salaam tuu.
I am out.
#Chief Eng.
....
ah.. we jmaa kwel n chief engineer!!Niaje Wazeiyaaaah...

Itakua usa liver Arusha[emoji12]Labda Ni ile U.S.A ya Baada ya kupuliza kitu cha arusha ila sio ile ya nyani ngabu
sizani kama kuna injinia anaweza kuandika kitu kama hiki!! UNATUDHALILISHA MA INJINIA!Niaje Wazeiyaaaah...
Mko Bwaxx....
Ebana katika majukum yetu haya ya ukandarasi nikajikuta (nikabahatika) majuz kufika USA.
Nisiwe na porojo sana, ni kwamba the way nilivokua napackia palivo, maisha na kila kitu ni tofauti kabisa na nilivokuta.
yan hakuna toafuti na bongo.
Cku ya kwanza tu nafika nikashangaa mbona watu weusi ndio wengi huku???
Mbona wanaongea Kiswahili kama bongo tuu??
kama haitoshi hadi fedha wanayotumia ni Tanzanian Shillings.
Sio hivo tu, hadi bangi, mateja na miziki inayopigwa kwa radio statios na night clubs ni kama bongo tuuu
Yaani kifupi USA hakuna tofauti na bongo.
Kidoogo labda ka ubaridi kule kamezidi.
Sasa KILICHONIACHA HOI kabisa mpaka nikaamua kutype haya maneno ni kuwa:
Mpaka bank ya NMB ina tawi lake liko USA bana huwez amini.
Mimi nilidhani "USA River" ni pakishuua kumbe kama bongo Dar es salaam tuu.
I am out.
#Chief Eng.
....
Huyu jamaa anastress za maisha yaliyoletwa na baba j ndo maana hajui anachokiandikawe ebhu acha masihala bhana..