dah kweli bangi ina stimmajamaa wawili walikua wamevuta bhang na ikawakolea kwelikweli. Wakaambizana tutaendaje nyumbani wakat hatuoni vizur magar? Mwenzake akamwambia wew gar la kwanza kupita tu tunadandia sawa? Akamwambia sawa! Mwenzake akamuliza tena tutampa naul nan akamwambia mtu atakayekugusa tu unampa naul! Bas mawazo yakakubalika kwel hais ikaja wakapanda! Sasa wamefika kwenye tuta wakasukumana na jamaa mwingine mmoja wao akajisach akatoa nauli yule jamaa akamwambia mim sio konda akamwuliza kwann umenigusa akamwambia nilisukumwa. Akamwuliza kwan wew nan akasema mim ni nahodha. Akamgeukia jamaa yake akamwambia umenidanganya kumbe TUMEPANDA MELI.
teh teh teh tehHiyo cha mtoto jamaa watatu wamevuta bangi zao zimewakolea sawa sawa wakaambiana kwa nini sisi tunashindwa kujenga nyumba ya gorofa. mmoja wao akasema mbona hiyo ni rahisi haya tujengeni wakasimama kati kati ya barabara mmoja akapanda juu ya mabega ya mwenzake kadhalika na yule mwengine kasimama juu ya mabega ya yule wa pili kwa hiyo wakawa wameishajenga gorofa mbili.barabara ikawa haipitiki magari yamesimama akatokea askari akawaambia waondoke, wao kimya askari akampiga kofi yule wa chini, yule wa juu akamwambia wa kati angalia huko chini kuna mtu anapiaga hodi:lol:
khaaa! Bangi nibangue.