Mr pianoman JF-Expert Member Joined May 22, 2019 Posts 2,609 Reaction score 6,357 Jul 13, 2020 #1 Huyu mwamba alicheza Movie ya MISUKOSUKO akiwa kama RPC mla rushwa movie iliyo tamba sana na inayo endelea kutamba mpaka sasa. Picha ya kwanza akiwa kwenye majukumu yake kama askari Magereza. Picha zinazo fuata akiwa katika kazi yake ya sanaa.
Huyu mwamba alicheza Movie ya MISUKOSUKO akiwa kama RPC mla rushwa movie iliyo tamba sana na inayo endelea kutamba mpaka sasa. Picha ya kwanza akiwa kwenye majukumu yake kama askari Magereza. Picha zinazo fuata akiwa katika kazi yake ya sanaa.
Encryption JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 999 Reaction score 1,356 Jul 13, 2020 #2 siti ya mbele
Encryption JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 999 Reaction score 1,356 Jul 13, 2020 #3 Lakini nahisi kama wamefanana
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,066 Reaction score 39,512 Jul 13, 2020 #4 ndiye yeye pia alikuwepo jumba la dhahabu. kipindi hicho kwa kuvaa uhusika akiigiza ni askari,nikajua huyu atakuwa askari kweli.askari hajifichi.
ndiye yeye pia alikuwepo jumba la dhahabu. kipindi hicho kwa kuvaa uhusika akiigiza ni askari,nikajua huyu atakuwa askari kweli.askari hajifichi.
Mr pianoman JF-Expert Member Joined May 22, 2019 Posts 2,609 Reaction score 6,357 Jul 13, 2020 Thread starter #5 Encryption said: Lakini nahisi kama wamefanana Click to expand... Ahahaaaa ndio yeye mkuu
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,432 Jul 13, 2020 #6 Askari jini mahaba
Mr pianoman JF-Expert Member Joined May 22, 2019 Posts 2,609 Reaction score 6,357 Jul 13, 2020 Thread starter #7 Encryption said: Lakini nahisi kama wamefanana Click to expand... Huyu
Mr pianoman JF-Expert Member Joined May 22, 2019 Posts 2,609 Reaction score 6,357 Jul 13, 2020 Thread starter #8 mkorinto said: ndiye yeye pia alikuwepo jumba la dhahabu. kipindi hicho kwa kuvaa uhusika akiigiza ni askari,nikajua huyu atakuwa askari kweli.askari hajifichi. Click to expand... Kweli mkuu ndio huyu huyu. Naona yupo kikosi maalum cha magereza (KM)
mkorinto said: ndiye yeye pia alikuwepo jumba la dhahabu. kipindi hicho kwa kuvaa uhusika akiigiza ni askari,nikajua huyu atakuwa askari kweli.askari hajifichi. Click to expand... Kweli mkuu ndio huyu huyu. Naona yupo kikosi maalum cha magereza (KM)
Sauti ya Mamlaka JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 1,742 Reaction score 2,559 Jul 13, 2020 #9 Mr pianoman said: Huyu mwamba alicheza Movie ya MISUKOSUKO akiwa kama RPC mla rushwa movie iliyo tamba sana na inayo endelea kutamba mpaka sasa. Picha ya kwanza akiwa kwenye majukumu yake kama askari Magereza. Picha zinazo fuata akiwa katika kazi yake ya sanaa. View attachment 1505593View attachment 1505594View attachment 1505595 Click to expand... Ni yeyee
Mr pianoman said: Huyu mwamba alicheza Movie ya MISUKOSUKO akiwa kama RPC mla rushwa movie iliyo tamba sana na inayo endelea kutamba mpaka sasa. Picha ya kwanza akiwa kwenye majukumu yake kama askari Magereza. Picha zinazo fuata akiwa katika kazi yake ya sanaa. View attachment 1505593View attachment 1505594View attachment 1505595 Click to expand... Ni yeyee
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 21,073 Reaction score 47,009 Jul 14, 2020 #10 Hivi inpekta mwenyewe kwenye hiyo muvi yuko wapi siku hizi?
MNEKI JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 992 Reaction score 1,310 Jul 14, 2020 #11 ukute ndo wewe mleta mada.
mgunga pori JF-Expert Member Joined Jul 23, 2016 Posts 4,093 Reaction score 4,912 Jul 14, 2020 #12 Pia ana bachelor ya LL.B
Mkogoti TAPELI Mkubwa Joined May 3, 2020 Posts 2,415 Reaction score 3,927 Jul 14, 2020 #13 NANGA WA DEPO said: ukute ndo wewe mleta mada. Click to expand... Ili asisahaulike anajitahidi atukumbushe na kujipromoti
NANGA WA DEPO said: ukute ndo wewe mleta mada. Click to expand... Ili asisahaulike anajitahidi atukumbushe na kujipromoti
Mr pianoman JF-Expert Member Joined May 22, 2019 Posts 2,609 Reaction score 6,357 Jul 14, 2020 Thread starter #14 NANGA WA DEPO said: ukute ndo wewe mleta mada. Click to expand... Unazingua mkuu mimi tena?
Mr pianoman JF-Expert Member Joined May 22, 2019 Posts 2,609 Reaction score 6,357 Jul 14, 2020 Thread starter #15 Great God said: Ili asisahaulike anajitahidi atukumbushe na kujipromoti Click to expand... Duh!
Basi Nenda JF-Expert Member Joined Jul 29, 2017 Posts 20,789 Reaction score 47,985 Jul 14, 2020 #16 NANGA WA DEPO said: ukute ndo wewe mleta mada. Click to expand... saivi JF hata mtu akileta video ya ushahidi wa ubakaji mtasema ni yeye anaji promote
NANGA WA DEPO said: ukute ndo wewe mleta mada. Click to expand... saivi JF hata mtu akileta video ya ushahidi wa ubakaji mtasema ni yeye anaji promote
Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,456 Reaction score 1,569 Jul 14, 2020 #17 Sijaiona hiyo muvi wacha niifatilie
Y Young Efe JF-Expert Member Joined Dec 17, 2019 Posts 337 Reaction score 247 Jul 14, 2020 #18 Vizuri.
Saguda47 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 11,757 Reaction score 21,986 Jul 14, 2020 #19 Aliigiza Kama Mr. Kamo
Mr pianoman JF-Expert Member Joined May 22, 2019 Posts 2,609 Reaction score 6,357 Jul 14, 2020 Thread starter #20 Lucas Mobutu said: saivi JF hata mtu akileta video ya ushahidi wa ubakaji mtasema ni yeye anaji promote Click to expand... Dah! Yani isha kuwa tabu mkuu
Lucas Mobutu said: saivi JF hata mtu akileta video ya ushahidi wa ubakaji mtasema ni yeye anaji promote Click to expand... Dah! Yani isha kuwa tabu mkuu