Nawashukuru wote walionyesha upendo kwangu, na kunianzishia special Thread for me, thanx!. Shukrani za dhati zimwendee Nyivonduma sir, na wengineo ambao walinipa support nzuri wakati nilipokuwa jamvini kama Yo Yo, Ngoshwe na wengineo. Niliamua kukaa kimya kwa sababu mimi sipendi ugomvi jamani, maana na kuna watu wana roho..... kama Kingi na tripu999 hawapendi kuniona hapa, hawataki kuzikabili changamoto zilizokuweko katika jamii yetu, sina zaidi mbarikiwe!! JF iko Juu ALWAYS
Nawashukuru wote walionyesha upendo kwangu, na kunianzishia special Thread for me, thanx!. Shukrani za dhati zimwendee Nyivonduma sir, na wengineo ambao walinipa support nzuri wakati nilipokuwa jamvini kama Yo Yo, Ngoshwe na wengineo.
Niliamua kukaa kimya kwa sababu mimi sipendi ugomvi jamani, maana na kuna watu wana roho..... kama Kingi na tripu999 hawapendi kuniona hapa, hawataki kuzikabili changamoto zilizokuweko katika jamii yetu, sina zaidi mbarikiwe!!
JF iko Juu ALWAYS
Ulikumbwa na nn mpka ukapotea Bwabwa??

Laanakum afritnum haramkhun,
hamna anayekumiss wala nini. Yaani wewe unaingia kwa ID nyingine halafu unaanzisha thread ya kujimiss mwenyewe..Kaaz unayo mwaka huu.
BwaBwa ni mwanachama kama wengine. Ni lazima tukubali changamoto zote ambazo zinaikabili jamii yetu kwa sasa. BwaBwa we miss you alot!
Nawashukuru wote walionyesha upendo kwangu, na kunianzishia special Thread for me, thanx!. Shukrani za dhati zimwendee Nyivonduma sir, na wengineo ambao walinipa support nzuri wakati nilipokuwa jamvini kama Yo Yo, Ngoshwe na wengineo.
Niliamua kukaa kimya kwa sababu mimi sipendi ugomvi jamani, maana na kuna watu wana roho..... kama Kingi na tripu999 hawapendi kuniona hapa, hawataki kuzikabili changamoto zilizokuweko katika jamii yetu, sina zaidi mbarikiwe!!
JF iko Juu ALWAYS
BWABWA! Kwa kule Malindi inamaanisha mwanamume .......na wanaume wenzie!
Hivi nyie mnauhakika gani kama huyu ni BwaBwa kweli?Mimi ni Tripo9 na wala sio tripu999 tafadhali.
Bwabwa, ndugu yangu ukibadili tabia (hiyo unayoiita 'changamoto')wote tutakupenda!
Asante.
Hivi nyie mnauhakika gani kama huyu ni BwaBwa kweli?