mpemi Zitto break apumnzike. Anapopiga Rais wako kila akisafiri kwenda nje ya nchi lazima apige picha na celebrity, lkn kwasababu ni Gamba mwenzio basi hapo ni sawa tu.

lol! Karibu nipaliwe kwa kicheko hahahahah...Inaelekea G ukiangaliwa hivyo basi hizo upper cuts utakazorusha zitakuwa si za kawaida ππ...sasa utachezaje muziki na partner wako bila kumuangalia?