Mkuu ni ukweli ulio wazi kabisa ndumba ndo kipaumbekw Cha walio wengiMazingara na mazonge mengi ya madalali kipindi hiki hutegemea sana imani dhaifu na soko la ushindani ktk kazi zao.
Ila madalali acha kabisa unaweza uziwa kiwanja ambacho ni njia ya maji lakini usione mpaka upokee mkataba wako wa mauziano..
80%ya madalali hutumia tunguli
Hilo sina ubishi nalo hata hawa wanauza magari wengi wanatumia ndumba unaweza kwenda umejipanga lakini ukaishia kulainikaLakini mkuu ni kweli baadhi ya madalali na ndumba ni Kama mapacha
Kabisa mkuu hii ipo Sana yani hadi unshangaa sijui ulinunuaje wale sio BureKuna ishu kama hii mi inanikutaga..Mi ni mzee wa kununua sana nguo kila mwisho wa mwezi naweza kununua hata mashati matatu au mawili ya kiofisi na fulana za kawaida plus jeans au suruali za vitambaa.
Ishu inakuja naweza nunua nguo huko town nikifika home nisiivae kabisa maana Inakuwa labda mbaya kabisa ila kule nimeichek fresh..Nina nguo kibao sivai yaani nanua tu bila ya kupenda hata nijaribishe kule ila nikifika huku naichukia kabisa kama mashati mawili moja sivaaa kabisa yaani ntaliona ovyo.
🤣🤣🤣Hapa Nina mashati matano sivai kabisa na suruali naona ni modo sana yaani nashangaa kwa kweli..Kabisa mkuu hii ipo Sana yani hadi unshangaa sijui ulinunuaje wale sio Bure
Mkuu sio kwa ubaya nipe hayo niwe navaa.🤣🤣🤣Hapa Nina mashati matano sivai kabisa na suruali naona ni modo sana yaani nashangaa kwa kweli..
Yanaweza yakanifaa hasa muda huu ninaopambania tumbo na kodi. Pls🤣🤣🤣Hapa Nina mashati matano sivai kabisa na suruali naona ni modo sana yaani nashangaa kwa kweli..
Usicheke boss. I mean it na mficha maradhi kifo humuumbua.🤣🤣🤣Hapa Nina mashati matano sivai kabisa na suruali naona ni modo sana yaani nashangaa kwa kweli..
Promo nzuriHabarini mwaka ndo ushaanza hivyo,
Ipo hivi unaweza ukawa unatafuta chumba au nyumba au hata kiwanja chenye specification flani unazotaka, lakini madalali watakuonyesha kitu tofauti kabisa, utashangaa ushalipia baaada ya hapo utagundua kumbe hapa sipo napohitaji eeh unaanza kuhaha tena kufaulisha hiyo nyumba au hata chumba au kiwanja hata magari pia, hawa jamaa sijui wanatumia nini..
Anyway nimeanza kazi ya udalali Kama unahitaji chumba au nyumba kuanzia Ubungo, Kimara na Mbezi karibu tuyajenge.
Nb: Mi namtegemea Mungu utapata unachotaka
Mungu akufungulie njia zaid.Habarini mwaka ndo ushaanza hivyo,
Ipo hivi unaweza ukawa unatafuta chumba au nyumba au hata kiwanja chenye specification flani unazotaka, lakini madalali watakuonyesha kitu tofauti kabisa, utashangaa ushalipia baaada ya hapo utagundua kumbe hapa sipo napohitaji eeh unaanza kuhaha tena kufaulisha hiyo nyumba au hata chumba au kiwanja hata magari pia, hawa jamaa sijui wanatumia nini..
Anyway nimeanza kazi ya udalali Kama unahitaji chumba au nyumba kuanzia Ubungo, Kimara na Mbezi karibu tuyajenge.
Nb: Mi namtegemea Mungu utapata unachotaka
hasa pale karume pale Kuna uchawi mwingi sana...unajikuta unanunua tu kila unachoambiwa...Hakuna ndumba wala nini maluwe luwe tuu ya kwenu ,