Kumbe Kenya Bureee!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
11,008
Reaction score
19,142
Dunia imesema Kenya na Uganda ni "Failed State" yaani ni nchi maskini wa kila kitu kuliko nchi zote Duniani ktk Nchi 178, yaani ni wa 170 kati ya hizo wakati Tanzania yetu pamoja na juhudi za Wachache kuiharibu ni wa 65!
Ah Hii nchi (TZ) Imebarikiwa Bwana!
Nchi moja, Kiongozi Mmoja, Watu Wamoja, TZ Daima!
​
 

una wazimu wewe?? ..failed state in terms of political stability ..read your facts right
 

acha kuwadanganya watu hapa. lete source siyo unakurupuka toka usingizini na kupost

[h=1]GNI per capita, Atlas method (current US$)[/h]
[TABLE="class: views-table sticky-enabled cols-7 sticky-table, width: 680"]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TH="class: views-field views-field-wbapi-data-value-2008 wbapi-data-value wbapi-data-value-first, bgcolor: transparent, align: right"] 2008[/TH]
[TH="class: views-field views-field-wbapi-data-value-2009 wbapi-data-value, bgcolor: transparent, align: right"]2009[/TH]
[TH="class: views-field views-field-wbapi-data-value-2010 wbapi-data-value, bgcolor: transparent, align: right"]2010[/TH]
[TH="class: views-field views-field-wbapi-data-value-2011 wbapi-data-value wbapi-data-value-last, bgcolor: transparent, align: right"]2011
[/TH]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: views-table sticky-enabled cols-7 sticky-table, width: 680"]
[TR="class: even, bgcolor: transparent"]
[TD="class: views-field views-field-wbapi-data-value-2008 wbapi-data-value wbapi-data-value-first, bgcolor: transparent, align: right"] Kenya 740[/TD]
[TD="class: views-field views-field-wbapi-data-value-2009 wbapi-data-value, bgcolor: transparent, align: right"] 780[/TD]
[TD="class: views-field views-field-wbapi-data-value-2010 wbapi-data-value, bgcolor: transparent, align: right"] 810[/TD]
[TD="class: views-field views-field-wbapi-data-value-2011 wbapi-data-value wbapi-data-value-last, bgcolor: transparent, align: right"] 820[/TD]
[TD="class: views-field views-field-sparkline, bgcolor: transparent"]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


[TABLE="class: views-table sticky-enabled cols-7 sticky-table, width: 680"]
[TR="class: even, bgcolor: transparent"]
[TD="class: views-field views-field-wbapi-data-value-2008 wbapi-data-value wbapi-data-value-first, bgcolor: transparent, align: right"]Tanzania 460[/TD]
[TD="class: views-field views-field-wbapi-data-value-2009 wbapi-data-value, bgcolor: transparent, align: right"]500[/TD]
[TD="class: views-field views-field-wbapi-data-value-2010 wbapi-data-value, bgcolor: transparent, align: right"]530[/TD]
[TD="class: views-field views-field-wbapi-data-value-2011 wbapi-data-value wbapi-data-value-last, bgcolor: transparent, align: right"]540[/TD]
[TD="class: views-field views-field-sparkline, bgcolor: transparent"]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


source GNI per capita, Atlas method (current US$) | Data | Table
 
KENYA???? A failed state? You can't be serious!! Jana rwanda leo kenya!!kesho sijui itakuwa ni wapi,Botswana?lesotho,Misri?Ghana? Au utafanya general simplification kuwa africa yooote ni bure kwa tanzania chini ya ccm ya kikwete?? Si kila kichwa kina ubongo,na si kila ubongo una fikra,na si kila fikra ina maana.
 
In which category?kidnapping and torturing people Tanzania is leading!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Yaani Failed state maana yake kutokanana tafsiri ya Dunia ni kwamba wanajumuisha kila kitu kuanzia kipato cha Mtu, Usalama wa raia wake, Furaha au huzuni wa Wananchi ktk Nchi husika, uwiano kati ya maskini na matajiri, watu wanaoshinda na njaa, umbali wa wanafumzi kutembea kwenda shuleni, uwezo wa wananchi kuwasiliana ktk nchi husika (kwetu kiswahili kimetuokoa), Ukarimu wa wananchi, Ustaarabu(hapo TZ Kinara), n.k wewe umeleta kiashiria kimoja tuu!

 
una wazimu wewe?? ..failed state in terms of political stability ..read your facts right


In which category?kidnapping and torturing people Tanzania is leading!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

acha kuwadanganya watu hapa. lete source siyo unakurupuka toka usingizini na kupost

Fuatilia thread hii hapa: https://www.jamiiforums.com/kenyan-politics/475315-kenya-ranked-as-failed-state.html
.
 
No wonder zero zinaongezeka!!

Bora hata sisi kwetu angalau kuna Takwimu na tumeshalijua Tatizo, huko kwingine Kenya na Uganda hata takwimu hawana yaani maana yake hata shule watoto hawaendi!

 
Dunia imesema Kenya ni wa 170 kati ya hizo wakati Tanzania yetu pamoja na juhudi za Wachache kuiharibu ni wa 65!
Ah Hii nchi (TZ) Imebarikiwa Bwana!

​

labda kwa wizi wa kura!
 
Bora hata sisi kwetu angalau kuna Takwimu na tumeshalijua Tatizo, huko kwingine Kenya na Uganda hata takwimu hawana yaani maana yake hata shule watoto hawaendi!


mkuu samahani, kwani wewe unasoma darasa la ngapi mwaka huu? (najua ni primary school)
 

Huyu ndio alikuja na ishu ya MGW 80 leo kapiga Kenya na Uganda duu huyu ana lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…