Pole UmelewaAdolf Hitler alizaliwa na kubatizwa katika Kanisa Katoliki la Roma. Alizaliwa mwaka 1889 katika Austria, nchi iliyokuwa na Wakatoliki wengi, na katika ujana wake alihesabiwa rasmi kama Mkatoliki.
Hata hivyo, akiwa mtu mzima, mtazamo wake kuhusu dini ulikuwa mgumu na wa kinzani:
Hakuwahi kujiondoa rasmi kwenye Kanisa Katoliki.
Hadharani, mara nyingi alitumia lugha na alama za Kikristo kwa sababu za kisiasa.
Hilter alikuwa Muislam kisiri siri. Alisilim na kutaka hata Wajeruman wote wawe Waislam maana aliona Wakristu wana upendo sana. Chuki dhidi ya Wayahudi alifundishwa na Waislam na aliyemfundisha ni jamaa alikuwa akiitwa Haj Amin Al hussein ambaye alidai yeye ni Mufti wa Yerusalem. Hapa chini nakuwekea picha yake Hitler na Haj Amin Al Husein wakioanga mipango ya kuua WayahudiAdolf Hitler alizaliwa na kubatizwa katika Kanisa Katoliki la Roma. Alizaliwa mwaka 1889 katika Austria, nchi iliyokuwa na Wakatoliki wengi, na katika ujana wake alihesabiwa rasmi kama Mkatoliki.
Hata hivyo, akiwa mtu mzima, mtazamo wake kuhusu dini ulikuwa mgumu na wa kinzani:
Hakuwahi kujiondoa rasmi kwenye Kanisa Katoliki.
Hadharani, mara nyingi alitumia lugha na alama za Kikristo kwa sababu za kisiasa.
Ni bora maana hata wakristo walipinga udictator wake, angekuwa muisilamu angetetewa na waisilamu. Huko Iran kunaakaje, ni wakristo ndio wanaandamana?Adolf Hitler alizaliwa na kubatizwa katika Kanisa Katoliki la Roma. Alizaliwa mwaka 1889 katika Austria, nchi iliyokuwa na Wakatoliki wengi, na katika ujana wake alihesabiwa rasmi kama Mkatoliki.
Hata hivyo, akiwa mtu mzima, mtazamo wake kuhusu dini ulikuwa mgumu na wa kinzani:
Hakuwahi kujiondoa rasmi kwenye Kanisa Katoliki.
Hadharani, mara nyingi alitumia lugha na alama za Kikristo kwa sababu za kisiasa.
Sidhani kama atakupa jibu linaloeleweka.Ni bora maana hata wakristo walipinga udictator wake, angekuwa muisilamu angetetewa na waisilamu. Huko Iran kunaakaje, ni wakristo ndio wanaandamana?