J Jamar Said Member Joined Sep 2, 2015 Posts 19 Reaction score 35 Oct 10, 2015 #1 Nimefurahishwa sana na hawa watu maarufu Tanzania kuwa mbele kwenye siasa za nchi yetu. Nimefurahishwa zaidi kuona wanataka mabadiliko ya kweli na sio bora mabadiliko..! Hongera Wema na Diamond.!
Nimefurahishwa sana na hawa watu maarufu Tanzania kuwa mbele kwenye siasa za nchi yetu. Nimefurahishwa zaidi kuona wanataka mabadiliko ya kweli na sio bora mabadiliko..! Hongera Wema na Diamond.!
Diva Beyonce JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 12,913 Reaction score 11,297 Oct 10, 2015 #2 Wapumbavu kwa kuiga hawajambo inabidi wapumzishwe ccm ndo mumefilisika ubunifu kiasi hiki mfxiiiu
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,886 Oct 10, 2015 #3 Ok sawa.......and then......what next........?.......
M mwakibete JF-Expert Member Joined Aug 24, 2009 Posts 3,069 Reaction score 2,314 Oct 10, 2015 #4 Sooo what
A aiai654 JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 3,857 Reaction score 1,265 Oct 10, 2015 #5 Shombo rubbish
kivava JF-Expert Member Joined Apr 2, 2013 Posts 5,772 Reaction score 4,933 Oct 16, 2015 #6 Toa huu upuuzi hapa Hapa sio mahali pa umbeya WA Shigongo
Mgibeon JF-Expert Member Joined Aug 7, 2011 Posts 11,425 Reaction score 21,842 Oct 16, 2015 #7 Hivi wema dau lake limefikia ngapi?? manake kiuno chake kinanyegesha balaa.
DE FULE JF-Expert Member Joined Jan 10, 2013 Posts 1,212 Reaction score 714 Oct 18, 2015 #8 Kwani lazima kuchangiaaaaa...? Tumethubutuu na tumewezaaaa...... Na wavimbe wapasukee ti ti......