mwanike wa ukaya
Senior Member
- Feb 3, 2017
- 113
- 79
Dah asante ntakua makin asee. Ila waambien wapunguzeKaribuu mjiniiii ......hapaa ndio mjini dar
ndo maana tukasema kuna umuhimu wa kuweka kiingilio pale chalinze... !Umetoka kolomije wewe si bure nyie mkizoea mjini mnakuwaga wasumbufu kama nduguyo Bashite bora uendelee kukaa ndani usituharibie jiji letu
Kbsa mkuundo maana tukasema kuna umuhimu wa kuweka kiingilio pale chalinze... !
Afu watu kama hawa ndo wateuliwe kuwa wakuu wa mkoa.. Yaani mtu kakulia huko porini kaja mjini kwa sababu ya shule tu na zali limdondokee apate ka ukuu wa mkoa!! Ndo kinachotutesa kwa bashite na baba ake yaani wote ndo walipaswa kuwa wawe wanauziwa sabuni huko kariakoo sasa badala yake ndo wanatuongoza kha...Karibia mjini sas
.
Habarini wanajukwaa. Kwanza nitoe pongezi sana kuwepo hii forum kwani imenisaidia mengi sana hadi mda mwingine nikikaaga kuwaza kwanini nilichelewa kuwepo humu ila tatizo sio Mimi ni mazingira na uchumi
Stori iko hivi!___
Sikuwahi waza kuna dar kuzurula bila kazi ,au nikae siku moja na kurudi hapana ila nlitamani nikae muda mrefu ili nilijue jiji na sikua na jinsi nyingine zaidi ya Kusoma na namshukuru Mungu mama ndalichako ameona kuwa ninazo sifa za kusoma huku
Nilipofika nlikuwa naogopa na kuiona dar kama ulaya lakini nikajikuta siku nimeanza kupazoea
Kuna siku nliona ni vyema nielekee taifa kuwacheki yanga ya darisalama na ndipo wahuni wakaimezea smartphone yangu iliyokuwa inaonekana Kwa mfuko Wa suruali na nashkuru Mungu katika harakati za kuichomoa nikashtuka na kutumia kaujanja nlikokapata jeshin nkaichukua nikawa nimesalimika
Shida Jana kuna jamaa kaniambia nimsindikize kariakoo kununua Samsung Galax si unajua yeye katokea town kidogo kuliko Mimi interior ....Tukafika Salama tukataka kununua dukani ila kabla hatujaingia akaja teja .mmoja alikua na Galax mashine ...kaifunga Kwa Rambo kajifanya kakwapua na anataka laki duh.. Tukaona ni neema kwetu kwani bei yake ilikua simple .. Tukashauriana kidogo ikabidi jamaa achome walet na kumpa ..tukapotea ..baada ya dakika chache jamaa kaniambia mbona ile soap. Dah. Sikuamini. Dah ama kweli mjini kuna wajanja ...
Tunaomba semina ya nguvu Kwa govt jamani hali sio nzuri ... Watanifanya niwe nashinda ndani kwakweli. Dah.... Mimi mshamba toka k..........
Afu watu kama hawa ndo wateuliwe kuwa wakuu wa mkoa.. Yaani mtu kakulia huko porini kaja mjini kwa sababu ya shule tu na zali limdondokee apate ka ukuu wa mkoa!! Ndo kinachotutesa kwa bashite na baba ake yaani wote ndo walipaswa kuwa wawe wanauziwa sabuni huko kariakoo sasa badala yake ndo wanatuongoza kha...
Faini ya Hajabu..!!! Koromoje moja hiiSiku nyingine ukienda mjini jitahadhari kutoangalia magorofa kwani utatozwa faini ya hajabu.
atakua katokea kolomijeKwani huko ulikotoka hukuwahi hata kufika mjini ya kwenu? Maana wizi wa aina hyo hata mikoani upo sana tu..
umesema kweli kabisa unaweza kuzaliwa town na bado ukawa mshamba tuUsiwe mshamba wewe, kuishi mjini hakuondoi ujinga wa mtu. Wangapi wamekulia hapa Dar mpaka sasa hawajitambui?
Kasome tena comment yangu ndo uje unijibu hapa... Sijasema kuishi mjini ndo kuondoa ujinga.. Ila nimeongelea tofauti kati ya walozaliw mjini na kijijini na hii ipo tu hata ukipinga vipi..Usiwe mshamba wewe, kuishi mjini hakuondoi ujinga wa mtu. Wangapi wamekulia hapa Dar mpaka sasa hawajitambui?