No More Drama
Member
- Jun 2, 2013
- 95
- 19
seems unamiss basic za seeder na leecher, na hio ya 700mb nafkiri unamaanisha voda, yeah ipo hivo as long as hutaidisconect.
ukidownload torrent hakikisha seeder (mara nyingi wapo ramgi ya kijani) wanakuwa wengi then itamaliza fasta fasta kama una speed nzuri
Ni kweli seeders wanatakiwa wawe wengi ili idownload fasta ila not always,kuna torrents za zamani say 2006 utakuta 1-5 seeders lakini cha ajabu speed nayo inakua kubwa sasa nadhani hii inatokana na strength ya ISP wako sio seeders and leechers alone.
af mkuu naomba kujua maana ya leecher na seederKi theory seeder mmoja anaweza hudumumia mamilioni ya leecher as long as ana speed kubwa ya internet ya ku upload.
Hizo torrent za zamani unakuta seeder 1-5 lakini leecher unakuwa wewe tu inamaana watu watano wanamu uploadia mtu mmoja kwanini speed isiwe kubwa?
Tafuta torrent yenye leecher 100 na seeder 10 wenye internet kimeo uone itakavyokuwa slow. Hasa movie za kihindi
Kama una speed nzuri unaweza download hata zaidi ya gb 10 kwa siku. Usidisconect hilo ndio sharti lake. Ikidisconect yenyewe inakula kwakowakuu kumbe nilikua naukosa uhondo mkuu Chief-Mkwawa je nikiwa napakua kama mafile matatu hivi bila kudisconnect yataendelea kwa spidi ileile? au itagoma ili nianze kukitumia kifurushi effectively
af mkuu naomba kujua maana ya leecher na seeder
asante mkuu kwa maujanja hayo kwa eneo langu spidi ipo juu sana sasa hivi nitaexploit data ipasavyoKama una speed nzuri unaweza download hata zaidi ya gb 10 kwa siku. Usidisconect hilo ndio sharti lake. Ikidisconect yenyewe inakula kwako
Seeder ni watu wanaokutupia hilo file unalodownload na leecher ni wale wenzako wanaodownload hilo file kama wewe kwa wakati huo
Hii picha inaonesha
Seeder-896
Leecher-505
Hapa inamaanisha kuna watu 896 duniani wanaupload movie ya hobbit.
Na kuna watu 505 wanadownload movie ya hobbit.
Sababu wanao upload movie ni wengi na wanaodownload ni wachache then itakuwa na speed nzuri.
Kuelewa zaidi chunguza unapodownload torrent same time unakuwa una upload na torrent ikimaliza kudownload inaandika seeding yani pale unamu uploadia mwenzako

Ahsante kwa elimu nimejifunza kitu,tnx.
Sasa ikianza ku seed nikicancel haina shida maana naona kama bundle itatumika twice?