VOICE OF MTWARA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 3,099 Reaction score 2,209 Apr 17, 2024 #1 Sikujua kuwa Timu ndogo ya Azam (wakamiaji) wamecheza leo na mashujaa na kutoka nao suluhu! Kwa hesabu za haraka kama yanga atashinda mechi ijayo atakuwa bingwa rasmi
Sikujua kuwa Timu ndogo ya Azam (wakamiaji) wamecheza leo na mashujaa na kutoka nao suluhu! Kwa hesabu za haraka kama yanga atashinda mechi ijayo atakuwa bingwa rasmi
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 11,504 Reaction score 27,287 Apr 17, 2024 #2 Mbona itakuwa haraka si juzi TU wamecheza na Namungo!?
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 11,504 Reaction score 27,287 Apr 17, 2024 #3 Ila inawezekana maana Namungo nao Leo wamecheza na coastal na wameshinda Moja
chaduma JF-Expert Member Joined Apr 16, 2017 Posts 231 Reaction score 280 Apr 17, 2024 #4 VOICE OF MTWARA said: Sikujua kuwa Timu ndogo ya Azam (wakamiaji) wamecheza leo na mashujaa na kutoka nao suluhu! Kwa hesabu za haraka kama yanga atashinda mechi ijayo atakuwa bingwa rasmi Click to expand... Hata mimi sikujua. Mawazo yote ya wapenda soka nchini yapo kuelekea derby. Hivi vitimu vingine vya kukamia watu wanavipotezeaga tu
VOICE OF MTWARA said: Sikujua kuwa Timu ndogo ya Azam (wakamiaji) wamecheza leo na mashujaa na kutoka nao suluhu! Kwa hesabu za haraka kama yanga atashinda mechi ijayo atakuwa bingwa rasmi Click to expand... Hata mimi sikujua. Mawazo yote ya wapenda soka nchini yapo kuelekea derby. Hivi vitimu vingine vya kukamia watu wanavipotezeaga tu
Swahili_Patriot JF-Expert Member Joined Aug 22, 2018 Posts 373 Reaction score 854 Apr 17, 2024 #5 Wajomba wa 5g aka mwakarobo wana vijembe😂😂😂
Bachelor OG JF-Expert Member Joined Aug 27, 2022 Posts 1,196 Reaction score 1,464 Apr 17, 2024 #6 Ilikuwa bonge wa game mashujaa wana timu na wanaukuta imara saana
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 24,706 Reaction score 44,066 Apr 18, 2024 #7 Bachelor OG said: Ilikuwa bonge wa game mashujaa wana timu na wanaukuta imara saana Click to expand... Kwa hiyo Koloizdad ni haki yao kutolewa na Mashujaa?
Bachelor OG said: Ilikuwa bonge wa game mashujaa wana timu na wanaukuta imara saana Click to expand... Kwa hiyo Koloizdad ni haki yao kutolewa na Mashujaa?
fimboyaasali JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 8,606 Reaction score 8,264 Apr 18, 2024 #8 VOICE OF MTWARA said: Sikujua kuwa Timu ndogo ya Azam (wakamiaji) wamecheza leo na mashujaa na kutoka nao suluhu! Kwa hesabu za haraka kama yanga atashinda mechi ijayo atakuwa bingwa rasmi Click to expand... ndio,yule ugali wa sukari alikuwa anahaha apate goli kushindana na aziz ki hakupata
VOICE OF MTWARA said: Sikujua kuwa Timu ndogo ya Azam (wakamiaji) wamecheza leo na mashujaa na kutoka nao suluhu! Kwa hesabu za haraka kama yanga atashinda mechi ijayo atakuwa bingwa rasmi Click to expand... ndio,yule ugali wa sukari alikuwa anahaha apate goli kushindana na aziz ki hakupata
Bachelor OG JF-Expert Member Joined Aug 27, 2022 Posts 1,196 Reaction score 1,464 Apr 18, 2024 #9 Frank Wanjiru said: Kwa hiyo Koloizdad ni haki yao kutolewa na Mashujaa? Click to expand... Mashujaa wana timu nzuri saana kama sio ile kadi nyekundu ya kipindi cha kwanza simba angefungwa bila kufika penati Mashujaa wakicheza na timu kubwa huwa wanapaki basi kipindi cha kwanza kipindi cha pili wakuja kucheza kaunta Mechi ya mashujaa na yanga kipindi cha pili mashujaa waliweza kupishana na yanga na hawakufungwa tano kama makolo
Frank Wanjiru said: Kwa hiyo Koloizdad ni haki yao kutolewa na Mashujaa? Click to expand... Mashujaa wana timu nzuri saana kama sio ile kadi nyekundu ya kipindi cha kwanza simba angefungwa bila kufika penati Mashujaa wakicheza na timu kubwa huwa wanapaki basi kipindi cha kwanza kipindi cha pili wakuja kucheza kaunta Mechi ya mashujaa na yanga kipindi cha pili mashujaa waliweza kupishana na yanga na hawakufungwa tano kama makolo