Kumbe akicheka ana mwanya

huyu ana akili za darasani tu ila hana hekima
 
yaaani huyu dada aishukuru sana hii sheria ya mitandao maana daah ! anavyozungumzwa uraiani huko ni balaaa . Thanks TCRA , GOD bless YOU .
tena thanks more,angetukuta kipindi like tuna Uhuru wa kubwata angejutaa.
 
Ni mzuri jamani!
 

Attachments

  • 1464979068452.jpg
    30.9 KB · Views: 29
Huyu mama akiongoza bunge naacha kuangalia hata akijojiwa sipendi kumsikiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…